Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Watarusha sana, lakini Lissu hatoki!Ahsante BBC.
Endeleeni kumuangazia mwanga huyu dikteta muuaji Samia.
Hii makala imerushwa mapema leo Jumapili, Julai 12, 2026.
View: https://youtu.be/9V11iRcPX1A?is=XxVPX6elzuSWUZI-
Mwamba LissuAhsante BBC.
Endeleeni kumuangazia mwanga huyu dikteta muuaji Samia.
Hii makala imerushwa mapema leo Jumapili, Julai 12, 2026.
View: https://youtu.be/9V11iRcPX1A?is=XxVPX6elzuSWUZI-
🤣🤣Wanatwanga maji kwenye kinuWatarusha sana, lakini Lissu hatoki!
He is real dealIn all honesty, Tundu Lissu has won me over.
He has more than proven that he is the real deal.
You were a little bit slower, but that's okay!In all honesty, Tundu Lissu has won me over.
He has more than proven that he is the real deal.
Sidhani hata kama anajua Tanzania iko upande Gani wa afrika.Mkuu acha masihara, yaani unamuwazia mtu asiyejua hata exchange rate ya pesa maarufu zaidi duniani (US dolla) kwenda kuhojiwa Hard Talk ya BBC?!?!.
Umekosea sana kuwaza vby!.
huko kuwa fisadi na kuwa muoga NDIKO KUKOSA AKILI KWENYEWE!Wapo wengi CCM wenye akili. Tatizo ufisadi na woga. Hawana maadili wala ujasiri wa kwenda kinyume na utawala uliowaweka madarakani.
Idiot... as serious as If your life depended on it!
YOU'RE TOO SERIOUS! 🤣
Masiharaa sasa haya.Sidhani hata kama anajua Tanzania iko upande Gani wa afrika.
Waoga wanajua makosa mengi wanafanya Lissu anayo na anaweza kuwaambia Wananchi ndio hofu yao kubwa mali za Nchi nyingi zimegawiwa kwa makampuni ya Nje hofu kubwa ni hiyo sio kuchukua Nchi wala nini kitendo cha kuwaamsha Wananchi ni hatari kwao huku vijana wakisikia huo uozo ndio chanzo cha maandamano inabidi Jaji kila kukicha aje na kifungu cha kumbakisha ndani Lissu..Huyu wangeachana naye tu. Maana hana hiyo impact wanayohofia. Kwa sasa serikali ijikite kutatua changamoto za vijana maana ndio 'time bomb' ambalo litalipuka muda sio mrefu.
Imenibid kuangalia tena kuona kama ni documentary moja tumeangalia na msigwa au ametumia Documentary ya Lary Madowo kutafuta cha kuongeaNaona Msigwa keshatoa tamko 🤣.
Per usual, foaming and frothing at the mouth.
Thanks for this, kuendeleza ile the jf spirit of being the first to know, na kitendo and kutuletea humu kumeifanya sisi Watanzania wa kawaida kuiona na mamlaka zetu to respond.Ahsante BBC.
Hii makala imerushwa mapema leo Jumapili, Julai 12, 2026.
Mkuu mtu ni rais wa nchi hajui exchange rate ya dollar na shilingi ya Tanzania,na Kila siku anasaini mikataba ya fedha na kukopa matrilioni ,je atajua vipi Tanzania iko upande Gani wa afrika.Masiharaa sasa haya.