Mkuu mtu ni rais wa nchi hajui exchange rate ya dollar na shilingi ya Tanzania,na Kila siku anasaini mikataba ya fedha na kukopa matrilioni ,je atajua vipi Tanzania iko upande Gani wa afrika.
Mkuu acha masihara, yaani unamuwazia mtu asiyejua hata exchange rate ya pesa maarufu zaidi duniani (US dolla) kwenda kuhojiwa Hard Talk ya BBC?!?!.
Umekosea sana kuwaza vby!.