BBC waendeleza ubeberu: Eti Tanzania nchi ya 23 kijeshi Afrika, Uganda ya 14 na Kenya ya 12

lakin wakuu ikumbukwe kuwa hata izo siraha huwa tunaagiza kwao na huwenda wanakuwa list ya zinazo ingia na latest
 
South Africa walitakiwa wawe number 1
Jeshi lao lipo very well organised

Kigezo chako?

Hivi unaijuwa Egypt wewe? Algeria?? Jeshi linalopambana na waandamanaji utalicopare na majeshi ya waarabu!!!! Pole sana babaa
 
Hii ni kauli ya kibiashara
Ukinunua silaha kwao unakuwa promoted
 
Kama vipi Tanzania ipigane vita ya kirafiki na Congo tuone nan atashindA
 
Tz bado sema wengi wenu umu ndani mnabisha kimihemko
 
JWTZ huwa mnawabeba tuu ila ni jeshi bovu kinoma wala hawajaonewa kwa hiyo tathmini.
 
Ukitaka kujua Tanzania ni ya ngapi kamuulize Idi Amin na Kaburu among others. Kenya ni koloni la Uingereza. Maybe, wanataka kutumia namba yao kuwapa makoloni yao. Kesho utaambiwa hata Rwanda inatuzidi wakati wao na Uganda tumeatengeza
Speaking of the past. But miaka imeenda na majirani zetu wame invest sana sana kuendeleza majeshi yao. Lazima watuzid kama sisi hatukuwekeza. hatuishi enzi za uhuru tena.
War has changed.
 
bora wangeweka hata rwanda maana tumeiona kwa macho kazi yao sehemu mbalimbali hapa afrika wakaziondoa drc na kenya hapo hamna majeshi kuna vikundi vya wala rushwa tu
 
Umemaliza mkuu...halina ubishi hilo tinalijua
 
Mwanajeshi haruhusiwi kuwa mwanachama wa Chama chochote Tanzania.elezea namna gani jeshi letu linavyoendeshwa kisiasa
 
Napinga tanzania haiwezi kushika namba nzuri hivyo huwa tunashika mkia kwenye mambo mengi
 
Nakuunga mkono and probably jeshi letu lisingeweza kupitia madhila wanayopitia nchi ingine.

Jeshi letu kwa namba waliopo wanastahili.
 
hapo hapo hamna nchi inayotupita kwa nguvu za kijeshi, uharo kenya hahahahaha wanaotukaribia ni Egypt, south africa
 
Hawakutoa. Wameanza USA, China, Russia, France 9. Uturuki na n 10 ujerumani.

Wakaja Africa wakataja weeeeeee mpaka 10 wakarukia Kenya, Uganda na Tanzania. Bila kutaja mataifa mengine.
uchina haiwezi kuipita urusi kwa nguvu za kijeshi
 
Ni ya kwanza duniani. Umefurahi sasa?
 
We ukiona yale ma MIG ya kizamani yaliyopo Mwanza unadhani tuna jeshi bora? No. Majirani zetu wamewekeza sana kwenye defence za uhakika na wanashiriki kwenye mazoezi yanayowaweka uptodate. Kwetu I am not sure kama kuna vit u kama hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…