Tella Mande
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 494
- 675
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakin wakuu ikumbukwe kuwa hata izo siraha huwa tunaagiza kwao na huwenda wanakuwa list ya zinazo ingia na latestTrust me! Hakuna taifa lolote ulimwenguni linaweza kuanika silaha zake zote za kivita hadharani. Mambo mengi ya kijeshi karibia kila taifa ufanywa kuwa siri
La pili ni kuwa Umeongelea jambo la Ethiopia na Tigray sio? sasa jambo ambalo ni hidden ni kuwa vita hii iko kisiasa sana kama sio hivo Ethiopia kukomboa lile jimbo ni suala la sekunde tu.
South Africa walitakiwa wawe number 1
Jeshi lao lipo very well organised
Speaking of the past. But miaka imeenda na majirani zetu wame invest sana sana kuendeleza majeshi yao. Lazima watuzid kama sisi hatukuwekeza. hatuishi enzi za uhuru tena.Ukitaka kujua Tanzania ni ya ngapi kamuulize Idi Amin na Kaburu among others. Kenya ni koloni la Uingereza. Maybe, wanataka kutumia namba yao kuwapa makoloni yao. Kesho utaambiwa hata Rwanda inatuzidi wakati wao na Uganda tumeatengeza
Umemaliza mkuu...halina ubishi hilo tinalijuaBelieve me, tunajifariji tunapojisifiaga kuwa jeshi letu ni miongoni mwa majeshi yenye nguvu Afrika. Jeshi letu lacks professionalism, liko kisiasa sana. Basi tu watu wengi hawajui kuhusu madudu ya hili jeshi.
Nyerere alishawahi sema kuwa jeshi letu ni the most politicized institution in Tanzania, tena walilifanya liwe hivyo kwa makusudi kabisa. Mpaka leo liko hivyo, halijabadilika.
We have a weak army. Anaebisha basi haijui vizuri JWTZ.
Mwanajeshi haruhusiwi kuwa mwanachama wa Chama chochote Tanzania.elezea namna gani jeshi letu linavyoendeshwa kisiasaBelieve me, tunajifariji tunapojisifiaga kuwa jeshi letu ni miongoni mwa majeshi yenye nguvu Afrika. Jeshi letu lacks professionalism, liko kisiasa sana. Basi tu watu wengi hawajui kuhusu madudu ya hili jeshi.
Nyerere alishawahi sema kuwa jeshi letu ni the most politicized institution in Tanzania, tena walilifanya liwe hivyo kwa makusudi kabisa. Mpaka leo liko hivyo, halijabadilika.
We have a weak army. Anaebisha basi haijui vizuri JWTZ.
Hao ndo wamarekani mkuu a.k.a mabeberuDuuuhh
Nakuunga mkono and probably jeshi letu lisingeweza kupitia madhila wanayopitia nchi ingine.Sema hoja uliyotumia kuwapinga ndio imenishangaza na mimi
Kwamba nchi ikiwa haipigani vita inaonekana ina jeshi imara sio? sidhani kama ni kweli
Uimara wa jeshi wanazingitia ubora wa mafunzo ya wanajeshi, vifaa(dhana) za kivita za nchi husika, budget kwenye jeshi la nchi husika n.k
hapo hapo hamna nchi inayotupita kwa nguvu za kijeshi, uharo kenya hahahahaha wanaotukaribia ni Egypt, south africaBBC wa ajabu Sana hawa.
Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12.
1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC.
Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo DRC na Nigeria vita kibao na uimara huo wa Majeshi yao?
Source: BBC Swahili news.
uchina haiwezi kuipita urusi kwa nguvu za kijeshiHawakutoa. Wameanza USA, China, Russia, France 9. Uturuki na n 10 ujerumani.
Wakaja Africa wakataja weeeeeee mpaka 10 wakarukia Kenya, Uganda na Tanzania. Bila kutaja mataifa mengine.
Ni ya kwanza duniani. Umefurahi sasa?BBC wa ajabu Sana hawa.
Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12.
1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC.
Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo DRC na Nigeria vita kibao na uimara huo wa Majeshi yao?
Source: BBC Swahili news.