Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Pepo ili litoke ni process na pia kuna kuwa na maagano kwahiyi pepo atoki kwa siku mmoja pepo umuingia mtu kwa siku mmoja kutoka inachukua mda sana kwasababu pale mtu anapoombewa pepo utoka ila baadae anarudi tena kuangalia sehemu yake alio kuwa anakaa je ulinzi umezidi kuimarika ua upo legelege ukiwa legelege ndio urudi tena pepo na kukaa na anaporudi mara ya pili anaongeza nguvu haji peke yake simama katika salaNje ya mada...
Inakuaje mtu anaombewa kila siku na wachungaji mbalimbali mapepo yanalipuka? Ni kwamba hao watumishi hawana uwezo wa kutoa mapepo au ni kitu gani?
Yupo depressed na maisha hao waimba injili na walokole nimeishi naoAmeongeq vingi, lingine ameongea juu ya Dada yake kumtumikia Mungu mwingine!
Ni kama vile Dada ake ameingia kwenye Satanism.
Ni kweli, ila inaonekana Dada kawafungia Vioo Ndugu zake...! Hakuna connection kati ya Martha na Ndugu zake....!Yule mdogo wake alichoongea kipo sahihi some how alichokosea ni kuweka hadharani angetumia busara kutafuta wazee wakanisa na wakongea na dada yake
Sio haki yake ndioWamatumbi huwa tunaonaga kama kupata msaada kutoka kwa ndugu ni haki yetu.
Ni aibu sana iyoNi kweli, ila inaonekana Dada kawafungia Vioo Ndugu zake...! Hakuna connection kati ya Martha na Ndugu zake....!
Ni rahisi Sana Kwa Watumishi wa Mungu ku switch upande...!
Wengine Wana switch Kwa Tamaa Kwa kuona mambo yanachelewa na wengine Kwa kutokujua, ila always mwisho wake Huwa haupo mbali na ni Mbaya.
Tofauti na madhaifu ya kibinadamu , ndugu alie nauwezo wa kibinadamu kamili kama wewe tu sio haki yake kusaidiwa na asipo saidiwa alalamike🤔🤔Sio haki yake ndio
Ndugu zako wanalala njaa wewe unauwezo unakazi ya kuzungusha pombe bar uku wenzio hawajui kesho itaishaje watakula nini kwako ndio fahari wewe kushiba uku wenzako wanalala njaa?
Kuna wakati kweli ndugu wanahitaji msaada kutoka kwa mwanafamilia na sio mtu baki mimu binafsi sipendi ndugu aombee kwa mtu baki naona ni kufedheheshana
KabisaWakina dada ni watu wema sana. Madada Hawanaga baya.
Sawa ni kweli mnyanyue ili aweze kujisimamia na kuacha kutegemea msaada ni lazima kutengeneza mazingiraTofauti na madhaifu ya kibinadamu , ndugu alie nauwezo wa kibinadamu kamili kama wewe tu sio haki yake kusaidiwa na asipo saidiwa alalamike🤔🤔
Yeah, Dunia ni Tambara bovu.Ni aibu sana iyo
Mimi nakumbuka kuna dada yangu alivyo anza kujipata akaanza kujisahau mama yangu alimwambia kitu kimoja kumbuka ulikotoka dar ni ya mwenyewe rafiki zake ndio walikuwa wanamjali mama ila yeye hana muda ila tangu alivyo mwambia ivyo alibadirika now yupo vizuri watu wanafwata mkumbo
Uho ni ubinafsi fanya kile unachokiweza tena usilalamike kama angekuwa hatimizi majukumu yake ipasavyo basi wewe usingefika hapo msaidie mzazi wako aibu ni yako wewe mtoto kwa jamiiKuna watu wengi sana hawalijui hili na hawatakubaliana nalo japo la kweli tupu.
Kuna wazazi walizingua sana kipindi wakiwa vijana. Wakitesa watoto wao, wengine waligoma kuwasomesha na hela wakatapanya na malaya na kuzaa hovyo hovyo kama mbwa halafu mwisho wa siku anarejea na kuomba msaada umsaidie yeye mwenyewe na utitiri wa watoto wake umsomeshee. Kwa hali kama hii mimi sisomeshi watoto wa mzee aliyekimbia majukumu na kama alijiona pesa na nguvu anavyo, asomeshe watoto wake nami nitasomesha wa kwangu na ndugu zangu wa mama&baba mmoja.
Ila kwenye swala la kumtambulisha mtoto ambaye siye wake ilo mm sijaliafiki yaani upo mbele za kadamnasi unatambulisha watu ambao umekutanano juzi tu uku unaacha watu wako muhimu kweli na kuwapa kipaumbele watu usio wajua hapanaMimi naona huyo Dada kinachomtokea ni karma
Umenena vyema ila sio haki yao ni maaamuzi ya mtu binafsi tu.Sawa ni kweli mnyanyue ili aweze kujisimamia na kuacha kutegemea msaada ni lazima kutengeneza mazingira
Mfano mmezaliwa 4 wewe ndio wakawaza kujipata hawa wadogo zako hawana lamani kabisa lakini wanapambana na mapambano yao wanapata labda pesa ya kula tu na mahitaji mengine je utashindwa kuwapa lamani au kuwainua katika mapambano yao ili waweze kuja kuwa wakubwa zaidi kwenye biashara na wewe una uwezo uho?
Mmekalili vibaya msaada sio pesa toa wazo mpe uone ndugu tunajuana vizuri
Miuu ukisema ivyo unakosea uko malekani wente wanatunza wazee wao na wametunga shelia kabisa mzazi ana uwezo wakumshtaki mtoto kama hamtunzi mnakosea wewe hapo ujawai mkosea mzazi wako alikuacha?;Ndiyo maana mimi nasema kama ningekuwa Rais basi ningeweka sheria kuwa mtoto hakiua au akipiga mzazi wake hakuna kesi yoyote....maana kabla ya mzazi kupigwa na mtoto wako ni lazima wewe ndiye mpumbavu kabla ya huyo mtoto. Wazazi wengi hawana upendo wa haki kwa watoto wao ...unakuta mzazi ana mdharau mtoto wake ambaye siyo muhalifu kisa tu huyo mtoto bado ajafanikiwa kimaisha ...badala ya kumpa moyo na kushirikiana naye kufanikisha maisha yake yeye anamfanyia dhihaka
Sawa lakini unapofanya maamuzi tafakari kwa mapana inaniumiza sana mtu unauwezo unashindwa msaidia akifa ndio unasaidia kutoa pesa ya jeneza na unaenda kuchagua mwenyewe asije tokea mtu huyo kwenye familia yetu ase naapa nitamharibu msaidie mtu akiwa hai utasikia mtu anasema nilitaka mwezi uhu nimfungulie biashara na nilishaanza mtafutia frame pale msimbazi center wakati uho mtu kamuomba amuinue miaka 20 akuumpa ata 20k ya umeme si usenge uhoUmenena vyema ila sio haki yao ni maaamuzi ya mtu binafsi tu.
Bro nakataa hapo bro mda mwingi kawekeza kwa mkewe na ndio wengine hao leo wanasema kusaidia mzazi sio lazimaEnh hongera, lakini huu ukweli 90 percent wengi usaidiwa na ma bro!
Ila kwenye swala la kumtambulisha mtoto ambaye siye wake ilo mm sijaliafiki yaani upo mbele za kadamnasi unatambulisha watu ambao umekutanano juzi tu uku unaacha watu wako muhimu kweli na kuwapa kipaumbele watu usio wajua hapana
Kabisa na watu wanaangalia kwenu kupoje ukikaza kusaidia hao watu baki utaambulia machungu zaidiBeatrice analalamika dada yake hamsaidii mama yao, malalamiko yake hayajagusa sana dada yake kumsaidia yeye.
Kama ni kweli hamsaidii mama yake, hilo ni tatizo na Beatrice yupo sawa kulalamika na kilia.
Tumekuwa tukifunzwa tangu utotoni, ibada njema inaanzia nyumbani. Mama yako hawezi kuwa na matatizo ukaacha kuyatatua ukaenda kutatua ya jirani halafu tuseme upo sahihi. Wewe utakuwa ni mwendawazimu tu!