Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Pepo ili litoke ni process na pia kuna kuwa na maagano kwahiyi pepo atoki kwa siku mmoja pepo umuingia mtu kwa siku mmoja kutoka inachukua mda sana kwasababu pale mtu anapoombewa pepo utoka ila baadae anarudi tena kuangalia sehemu yake alio kuwa anakaa je ulinzi umezidi kuimarika ua upo legelege ukiwa legelege ndio urudi tena pepo na kukaa na anaporudi mara ya pili anaongeza nguvu haji peke yake simama katika salaNje ya mada...
Inakuaje mtu anaombewa kila siku na wachungaji mbalimbali mapepo yanalipuka? Ni kwamba hao watumishi hawana uwezo wa kutoa mapepo au ni kitu gani?