Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

Huyo mtoto ni familia ya Martha na huyo Beatrice ni ndugu yake

Lazima uelewe utofauti wa relatives na family .

Martha anaijali Sana familia yake Ila hayupo karibu na ndugu Ila angeonekana MTU wa ajabu endapo angeitelekeza familia yake na akawa karibu na ndugu.

Hivyo huyo mdogo wake Beatrice mwambie atengeneze familia yake ndo itamsaidia kesho na kesho kutwa.

Asililie undugu ambao huwa haupo.

Tofauti na hapo atenda kila madhabau analia.

Asilimia kubwa ya watu ikiwemo huyo Martha tumesaidiwa na watu ambao hatuwajui wala hatuna undugu nao hata chembe.

So tofautisheni Kati ya Family and relative

Familia ni muhimu zaidi ya relatives

So ukikuwa na ukawa MTU mzima una uamuzi wa kuanzisha familia yako.
Sawa mtoto huyo martha alimzaa lini? Na alimzaa wapi ukuaji wake upoje? Au ndio alifanya adoption?
 
SHE IS JUST A STUPID WOMAN WHO LOOKS FOE SYMPATHY. GRADUATE ANAKUWA MPUMBAVU HIVI.
Wengi mnamuona ni mpumbavu lakini si kweli yeye hapo anachoomba au anachotaka ni martha kumsaidia mama yake na sio kumsaidia yeye bali amsaidie mama yake

Inaumiza sana wewe unapambana kumsaidia mzazi wakati mmezaliwa wengi na mnajiweza wewe mmoja ndio unapambana uendelei wenzako wanajenga na kufanya kila aina ya starehee wewe pesa nguvu zote zinaishia kwa familia wasaidiane kumtuza mama yao
 
Sawa mtoto huyo martha alimzaa lini? Na alimzaa wapi ukuaji wake upoje? Au ndio alifanya adoption?
MTU Kuwa mtoto wako hadi umzae ?

Uki-play role ya Baba au mama Kwa MTU yeyote anaweza kuwa mtoto wako.

Nimeshangaa sana huyo Beatrice kuona huyo mtoto hastahili kuwa karibu na Martha.

Then huyo Beatrice sinimuimbaji mkubwa tu wa size ya Kati anapata hela je hizo hela zake anazolipwa katika mitandao na katika matamasha je hawezi kujihudumia na kumuhudumia mama yake.?

Analilia wakati she is well of kashajipata financially.

Ndo maana Mungu anamshusha maana hajui kanuni za ulimwengu zinavyofanya Kazi.
 
Kumbe huyu nae Zapunga!unaliliaje hela za mtu?si utafute wewe umtunze mama yako?Mama huzaa watoto kumi na kuwalea wote ila mtoto mmoja tu ndio atamlea mama
Anachoka kulea mama peke yake msimtete martha watoto wamlee mama yao wote kila mtu ana majukumu na majuku ni kusaidiana asikimbie majukumu akamuachia mwezie peke yake
 
MTU Kuwa mtoto wako hadi umzae ?

Uki-play role ya Baba au mama Kwa MTU yeyote anaweza kuwa mtoto wako.

Nimeshangaa sana huyo Beatrice kuona huyo mtoto hastahili kuwa karibu na Martha.

Then huyo Beatrice sinimuimbaji mkubwa tu wa size ya Kati anapata hela je hizo hela zake anazolipwa katika mitandao na katika matamasha je hawezi kujihudumia na kumuhudumia mama yake.?

Analilia wakati she is well of kashajipata financially.

Ndo maana Mungu anamshusha maana hajui kanuni za ulimwengu zinavyofanya Kazi.
Ni sawa

How come mbele za watu kumuonyesha mtoto wa mwingine uku umenpendezesha vizuri wakati uho nyuma mama yako ujawai kumtambulisha ata kumpost kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa na uku mama yako hana ata dawa ya meno na wakati uhi hajawai kuonja hela ya ata hiyo ndio haki?

Msitete upumbavu wasaidiane kumtunza mama yao uyo bite ajazaliwa peke yake na sio peke yake ana uwezo naye martha anaitajika kumtunza mama yake
 
Anachoka kulea mama peke yake msimtete martha watoto wamlee mama yao wote kila mtu ana majukumu na majuku ni kusaidiana asikimbie majukumu akamuachia mwezie peke yake

Kumlea Mama yako aliyekuzaa unachokaje ?

Je mama yake anatumia pesa kiasi na matumizi kiasi gani hadi afike hatua ya kutia huruma na kulia lia

Yeye betreace pesa zote alizonazo anashindwa kumuhudumia mama yake na yeye kujihudumia?

YouTube yake pekee inamuingizia pesa kiasi gani?

Labda anabidi akae akombewe na mchungaji ili atolewe ROHO ya kulalamika
 
Ni sawa

How come mbele za watu kumuonyesha mtoto wa mwingine uku umenpendezesha vizuri wakati uho nyuma mama yako ujawai kumtambulisha ata kumpost kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa na uku mama yako hana ata dawa ya meno na wakati uhi hajawai kuonja hela ya ata hiyo ndio haki?

Msitete upumbavu wasaidiane kumtunza mama yao uyo bite ajazaliwa peke yake na sio peke yake ana uwezo naye martha anaitajika kumtunza mama yake

Huyo bite YouTube yake anapata hela nyingi inamtosha kula ,kumuhudumia mama yake na kutoa sadaka.

Achilia mbali matamasha anayofanya .

Hiyo ROHO yake ya kulalamika ndo inamrudisha nyuma na sio kuwa kalogwa au ana pepo
 
Kumlea Mama yako aliyekuzaa unachokaje ?

Je mama yake anatumia pesa kiasi na matumizi kiasi gani hadi afike hatua ya kutia huruma na kulia lia

Yeye betreace pesa zote alizonazo anashindwa kumuhudumia mama yake na yeye kujihudumia?

YouTube yake pekee inamuingizia pesa kiasi gani?

Labda anabidi akae akombewe na mchungaji ili atolewe ROHO ya kulalamika
Kwahyi yeye bite hana malengo yake binafsi hana majukumu mengine nje ya mama yake? Hapo kinachotakiwa ni kugawana majukumu

Mfano mama kaiishiwa chakula huyu apeleke mchele huyu unga kesho uyu katuma hela ya mboga kesho huyu kamlipa dada wa kazi anae msaidia mama hivi ndivyo watu wanaishi

Kwhy huyo martha pesa yake yeye ni kununya magari na kununuliwa watu wengine vyakula ila haifai kumpa mama yake pesa?
 
Je hao ndugu zake wangekuwa hawapo angemuacha mama yake akose chakula au mahitaji muhimu ?

Mwambie abebe hilo jukumu la mama yake asitie huruma na kulilia madhabauni wakati kabarikiwa uchumi tayari.
 
Kama mtu hujawahi kuwa breadwinner kwenye familia huwezi elewa situation ya Martha. Kwanza ndugu wasio na uwezo wanaungana against you, kuwasaidia inakuwa ni haki yao hata kama huna. Kibinadamu inatia sana unyonge moyoni inafika point mtu anakosa nguvu yakuendelea kutoa support anaacha liwalo na liwe.
 
Mnamtetea martha upumbavu amsaidie mwezie majukumu atukatai kusaidia watu baki ila hakikisha na ndugu zako wanafaidaka na wewe wajivunie uwepo wake nje ya hapo ni mbinafsi naona umeishiwa hoja za kumtetea
 
Ndio ushindwe kumsaidia mama yako kisa wadogo zako wana mdomo?
 
Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake akidai kuwa Martha Mwaipaja ana fedha nyingi sana lakini hamsaidii mama yake vilevile akidai kuwa amejitenga na ndugu zake

Tazama Video hizi kwa utulivu

View attachment 3178592
View attachment 3178593
Kwakweli huyo mama asikubali kabisa, kama anaona kutosaidiwa na mwanaye ni dai la haki atafute Wanasheria wazuri amfikishe binti yake mahakamani kwa kutomtumia mama yake mkwanja wa kutosha.
Wapendwa wazee watarajiwa mjiandae na kuelewa watoto wako sio kitega uchumi, utasikia ooh! nilikusomesha, nilikulisha ila hata haunikumbuki, sasa mlitaka hao watoto wenu wahudumiwe na ustawi wa jamii ilihali wazazi wao wapo hai?
 
Mnamtetea martha upumbavu amsaidie mwezie majukumu atukatai kusaidia watu baki ila hakikisha na ndugu zako wanafaidaka na wewe wajivunie uwepo wake nje ya hapo ni mbinafsi naona umeishiwa hoja za kumtetea

Kwahiyo ni sahihi mtu kulilia pesa zako tena MTU mzima ?
 
Bro nakataa hapo bro mda mwingi kawekeza kwa mkewe na ndio wengine hao leo wanasema kusaidia mzazi sio lazima
Mimi nimesaidiwa na bro kwa 90 percent wakati dada alianza KUFANIKIWA kabla ya bro msaada wake mpaka asikie mama kalemewa ndo anafanya kisaidia mpaka aambiwe na Maza enzi hizo ukimfatandirect ni ngoma labda kwenu hakuna mabro
 
Kwakweli huyo mama asikubali kabisa, kama anaona kutosaidiwa na mwanaye ni dai la haki atafute Wanasheria wazuri amfikishe binti yake mahakamani kwa kutomtumia mama yake mkwanja wa kutosha.
Wapendwa wazee watarajiwa mjiandae na kuelewa watoto wako sio kitega uchumi, utasikia ooh! nilikusomesha, nilikulisha ila hata haunikumbuki, sasa mlitaka hao watoto wenu wahudumiwe na ustawi wa jamii ilihali wazazi wao wapo hai?
Wasinge wahudumia ninyi watoto mngeenda ustawi kudai haki zenu leo wazee wenu nguvu zimeisha hawawezi tena kutafuta pesa kama zamin wakiwaomba mnaona mnanyonywa hudumia wazazi wako kama wao walivyo kuhudumia au wewe walikuacha ukale kwa jirani kila siku? Si mzazi uyo uyo alijinyima ili wewe uwe na furaha ? Muwe na aibu ata kidgo
 
Back
Top Bottom