Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
usije hata siku moja kufanya makosa kuamin kwamba Marekani hana uwezo kupiga taifa lolote bila msaada wowote. of course wahurthu yemen ni wadogo sana, na marekani anaona kama anapoteza silaha kupiga panzi. anatamani Iran, ipatikane sababu ya msingi kuingia Iran, na haipati.Hiyo coalition ya red sea imeishia wapi?
usije hata siku moja kufanya makosa kuamin kwamba Marekani hana uwezo kupiga taifa lolote bila msaada wowote. of course wahurthu yemen ni wadogo sana, na marekani anaona kama anapoteza silaha kupiga panzi. anatamani Iran, ipatikane sababu ya msingi kuingia Iran, na haipati.
Hii ngano yenu ya ugaidi ishaanza kupoteza maanaHivi uongo ni sehemu ya kuipa kiki dini ya allah?huwa nashangaa ugaidi unavyo pewa kipaumbele kwenye mazingira fulani na kuukataa vilevile kutegemeana na mazingira fulani!
Hivi uongo ni sehemu ya kuipa kiki dini ya allah?huwa nashangaa ugaidi unavyo pewa kipaumbele kwenye mazingira fulani na kuukataa vilevile kutegemeana na mazingira fulani!
sawa na kuuza mbuzi ushinde kesi ya Kuku.
Hio sentensi inaweza tafsiriwa kwa maana zaidi ya moja.1. Kwa mtazamo wangu nilikujibu:
"Huyu mwamba namwelewa hasira zake:
2. Kwamba, "whatever you call it" alichokuwa kaandika kilikuwa "logical."
3. Kwa maana kamili ya kuwa silazimiki kuchagua tu, katika options zako.
4. Au nasema uongo ndugu yangu?
Irani sio wakina Libia wala Iraq, Irani ni habari nyingine mkuu, na usishabikie ujinga, Vita yoyote na Irani, mtauziwa mafuta lira sh 10,000/ na hata hayo ya sh 10,000 bado yanaweza yasipatikane, so usishabikie upumbavu,1. Tofautisha kumvamia Iran na kumvutia mtegoni akung'utwe.
2. Haipo siri kuwa nguvu za Iran zinaongezeka na hiyo Marekani na Israel ni kitisho kisichopaswa kupuuzwa.
We kwa sasa Urusi hana cha kupoteza, ana uwezo wa kumsapoti Irani moja kwa moja, pigia mstari hana cha kupoteza.Mrusi hayupo nyuma ya Iran peke yake, yaliwakuta Iraq, Libya, Syria na wengi pia.
mbona huongelei waarabu halisi? Kwanza tambua Irani sio Mwarabu, na kuwasaidia Wapalestina ni ile tu basi.1. Mkuu Syria kaanza midundano na mabeberu muda tangia Assad Sr.
2. Hapa alipo Assad jr, leo akiwa kachoka mno kwenye machweo.
3. Syria original asingekuwa mtazamaji kwenye kadhia hii sasa Gaza.
4. Kulikoni Iran kuendelea kuwa mtazamaji Gaza kama mrusi yupo?
huyu tunabishana na shamba boy kaachiwa smart phoneSiku ukijua nini maana ya iran kujitoa kumpatia russia drone ....maana yake nini ? Utskuwa umeanza kuwa na akili ...iran mjanja sana kutengeneza bond na urussi wakati wa shida wa urussi. Anajua naye akiwa kwenye shida na wahuni wa nato urussi itamfanyia mema pia
kwa hio hapo ndio Irani wamekosana na Urusi? yout too low broo1. Mijadala ni hoja si na u big brother nao mumo.
2. Walisema mtegemea cha ndugu hufa hali masikini.
3. Misahafu ikasema amelaaniwa tumainiye bindamu.
4. Hii mbombo ni ya leo:
View attachment 2851654
5. Ukipenda jinafasi hapa:
Iran summons Russia’s envoy again over islands dispute with UAE
6. Hivyo ndiyo dunia, hayupo adui wala rafiki wa kudumu.
walikuwa wapi before 1948 hadi hivi sasa wamebakia wapalestina wachache kama mkoa mmoja wa tz?Poleni sana
Hamas wataendelea kuwachinja magaidi wa idf na marekani mpaka wakimbie ghaza mbwa wale
Pataje alipokuwa anaishi kabla ya 1948Kwake alikua anaishi kabla ya mwaka 1948 huko ndio kwake
Ila pale alipo kavamia na anatakiwa apigwe mpaka akimbie
Safar ijayo mwaka 2030 israhell atapigwa kila kona mpaka atatema ardhi ya watu
kwa hio hapo ndio Irani wamekosana na Urusi? yout too low broo
mbona huongelei waarabu halisi? Kwanza tambua Irani sio Mwarabu, na kuwasaidia Wapalestina ni ile tu basi.
We kwa sasa Urusi hana cha kupoteza, ana uwezo wa kumsapoti Irani moja kwa moja, pigia mstari hana cha kupoteza.
Irani sio wakina Libia wala Iraq, Irani ni habari nyingine mkuu, na usishabikie ujinga, Vita yoyote na Irani, mtauziwa mafuta lira sh 10,000/ na hata hayo ya sh 10,000 bado yanaweza yasipatikane, so usishabikie upumbavu,
Kwa hiyo mwenzako amekupa fact ww unakaza fuvu shauri yakoIsije kuwa anaye andika upumbavu ni wewe:
View attachment 2852046
Mtanzania kujifanya mjuzi wa kila kitu ni kansa itakayo mtafuna kwa muda mrefu sana.
Sishangai unarusha statemeybaada ya statement kuliko robot la AI.
Beberu kamshindwa Yemen ndo apambane na Iran?? Kuweni serious [emoji23]