Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Umeona majina ya hizo kampuni ni tofauti, pia nchi ni tofauti. Haya mabehewa ya Sasa alihusika mwendazake
Ndio maana nikasema.. narudia tena.. msimhusishe Bashiru kwenye hili.

Najua tu mtasema hivi kama wewe.

Nyie hamna baya.. mmenyooka mno.
 
Mbona mabehewa yako poa sana tu kwa ndani full kiyoyozi na facilities zote muhimu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo mlitakaje ? Endeleeni kutoa tozo ipo siku tutafika huku


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…