Tuwe na subra yaungwe huenda yatafanana na picha namba 1.Mwanzo tuliahidiwa hivi[emoji1313][emoji1313][emoji1313]Picha namba 1
Tumeletewa haya mabox Picha namba 2
Ni huzuni[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2424970View attachment 2424971
Ngoja nisubiri yashushwe huenda mengine yana kazi tofautiMwanzo tuliahidiwa hivi[emoji1313][emoji1313][emoji1313]Picha namba 1
Tumeletewa haya mabox Picha namba 2
Ni huzuni[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2424970View attachment 2424971
hivi wewe ushayaona au roho mbaya tu tu inakusumbuaMara nyingi tukiandika humu kuhusu mambo haya huwa tunaitwa Pinga pinga , Lakini ni lazima ifahamike kwamba sisi kama binadamu wenye akili timamu , tuliosafiri hapa na pale duniani , ambao pia tu wasomi wenye macho yanayoona , hatuwezi kuacha kuhoji mambo yenye kutiliwa shaka .
Ni kweli kwamba Mabehewa yamefika na yameanza kupokelewa Bandarini , lakini bila kumung'unya maneno , Mabehewa haya ni DUNI , wala hayana tofauti sana na Mabehewa ya TRC yaliyotelekezwa pale Shauri moyo , Sasa ile Mikwara kwamba zinaletwa Treni za Kisasa wadanganyaji walilenga nini ?
Mbona watanzania hawajawahi kukataa chochote wanacholetewa , kwanini msiwaambie ukweli tu kwamba mabehewa yatakayokuja ni ya kawaida badala ya kuwapiga fix ?
Ni Dharau ya kiwango cha juu sana kudhani kwamba Watanzania ni Wajinga kiasi cha kudanganywa kibwege namna hiyo , Yaani kwamba sisi hatuoni hata kwenye sinema hizo treni za kisasa ?
Tambueni kwamba KILA UBAYA UTALIPWA
Mkuu hizo za picha ya pili ni kitu manta bado zina nlyon wakizifungua ni kama hizo za picha ya kwanza kuwa na subira😁Mwanzo tuliahidiwa hivi[emoji1313][emoji1313][emoji1313]Picha namba 1
Tumeletewa haya mabox Picha namba 2
Ni huzuni[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2424970View attachment 2424971
Mabehewa ya kisasa muonekano wake kwa nje bila kuingia ndani ukoje? Yana tofauti gani na haya ya kwetu? Tukumbuke reli yetu siyo High Speed Rail (HSR), rolling stocks za kwenye HRS zina tofauti kidogo kimuundo ili kuwezesha spidi kubwaMara nyingi tukiandika humu kuhusu mambo haya huwa tunaitwa Pinga pinga , Lakini ni lazima ifahamike kwamba sisi kama binadamu wenye akili timamu , tuliosafiri hapa na pale duniani , ambao pia tu wasomi wenye macho yanayoona , hatuwezi kuacha kuhoji mambo yenye kutiliwa shaka .
Ni kweli kwamba Mabehewa yamefika na yameanza kupokelewa Bandarini , lakini bila kumung'unya maneno , Mabehewa haya ni DUNI , wala hayana tofauti sana na Mabehewa ya TRC yaliyotelekezwa pale Shauri moyo , Sasa ile Mikwara kwamba zinaletwa Treni za Kisasa wadanganyaji walilenga nini ?
Mbona watanzania hawajawahi kukataa chochote wanacholetewa , kwanini msiwaambie ukweli tu kwamba mabehewa yatakayokuja ni ya kawaida badala ya kuwapiga fix ?
Ni Dharau ya kiwango cha juu sana kudhani kwamba Watanzania ni Wajinga kiasi cha kudanganywa kibwege namna hiyo , Yaani kwamba sisi hatuoni hata kwenye sinema hizo treni za kisasa ?
Tambueni kwamba KILA UBAYA UTALIPWA
Nimeyaona , na wala sina hiyo roho mbaya unayonisingiziahivi wewe ushayaona au roho mbaya tu tu inakusumbua
Mtanikumbuka
Unaweza kukuta dalali ni Lisu
huna hojaYaani kazi yako kubeba spika na bendera za Chadema kwenda mikutanoni, tayari umejua mabehewa hayana ubora.
Shule yenyewe ulikuwa mtoro, madaftari unafungia maandazi, na kazi kubwa ilikuwa kujificha makorongoni au vichakani ukivuta
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we jamaaaaItakuwa wameegiza kupitia kikuu
Mtanikumbuka
Unaweza kukuta dalali ni Lisu