Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Wameleta mabehewa mtumba, Walamba asali. Magu asisingiwe.
 
Ingawa haujaweka picha kuthibitisha unachokisema, ila chini ya utawala wa Sa100 kwa namna alivyozungukwa na wapigaji...lolote linawezekana!.
 
Kama chadema wamepewa tenda tu ya mabehewa wameleta hizi tetenus je wakipewa nchi wataweza kweli hawa?
 
mara nyingi sana ukiona tu kichwa huwa ni tofauti sana na kiwililiwili chake
 
Yaani walichoangalia chadema ni walau rangi ya combat zao iwepo kwenye behewa tu basi, kuhusu ubora hawajali kabisa
 
Mtanikumbuka

Unaweza kukuta dalali ni Lisu

Hapa Godfather wako Meko ndiyo alicheza uhuni alitoa tenda kwa kampuni ya Kikorea na wahuni wenzake wakala 10%



Meko alitoa tenda kwa kampuni ya Kikorea hii Hapa ndiyo imetuletea haya Mabati. Unayoyaona zilitakiwa kuja 36 naona wametuletea 14 tu.


Baada ya serikali ya Samia kutokuvutiwa na hizi chuma Chakavu ikatangaza tenda uuindaji wa mabehewa 1430 ambayo kampuni ya China wanaitwa CRRC ndiyo washindi wa hii tenda. y

Mabehewa yake yataanza kuingia kuanzia September 2023.
 
SGR imeshakufa tayari kamwe akina kikwete hawatakubali treni ifanye kazi alafu malori Yao yaendelee kufa kifo cha Mendez Hilo haliwezekani...

Ndiyo maana imeanzishwa barabara ya haraka Hadi morogoro ili biashara zao ziendelee kama kawaida, watanzania wasitegemee sgr kufanya kazi Kwa ufanisi
 
Yaani kazi yako kubeba spika na bendera za Chadema kwenda mikutanoni, tayari umejua mabehewa hayana ubora.

Shule yenyewe ulikuwa mtoro, madaftari unafungia maandazi, na kazi kubwa ilikuwa kujificha makorongoni au vichakani ukivuta

Haichekeshi.
 
Ungetusaidia sasa sisi tusiojua kwa kuruonyesha picha ya kilichopokelewa na hizo za ulaya ulizo ziona.
P
 
Nachokiona kama usimamizi wa mali za serikali ni wakusuasua tutarajie majanga makubwa katika miradi yote inayoendelea pamoja na yote siamini kama mabehewa haya yaliyoletwa yana ubora kiasi gani kwa ajiri ya matumizi ya SGR.

Serikali tangu asubuhi mzigo unatolewa kwenye meli na watu miluzi imekuwa mingi hata kauli ya serikali hamna[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…