Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

How Much ?

Mimi kama mlipa Kodi siwezi kusema ni baya au zuri bila kujua ni ngapi limelipiwa...

Hivi na kile Chuo cha Reli na Veta hawawezi hata kufanya Assembling ya haya mambo ?.., ili haya yakiharibika wanakwenda wanayafanyia refurbishment...,

Nadhani na hili wakalitazame
 
 

Attachments

  • Screenshot_20211029-110122.png
    234.4 KB · Views: 3
honestly nilikuwa simkubali jiwe 100%. ila sasa nimeanza kuona umuhimu wa ile kauli yake ya "mtanikumbuka".

pamoja na ukatili wake wote, hili la kuletewa mabehewa/behewa la treni iliyochakaa, mgao wa umeme nk, asingekubali vitokee chini ya utawala wake. angetumbua watu kama hana akili nzuri.

ila kwa huyu mama, itakuwa ni business as usual, litapita kimyakimya. akiona mnampigia sana kelele mitandaoni, atajitungia zake trip ya siku kadhaa nje ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…