Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Haya ni mabehewa kweli ya train ya kisasa au ni nini?
Wenzenu walitumua mabehewa kama haya karne 18 huko.
takataka kabisa. Si majaliwa alikwenda kuyaangalia kama yana value for money? Hiki ndicho ali approve?
 
Ndugu washika dau wa hapa , ikumbukwe wakati wa kuanza mradi wa ujenzi wa njia za tren za kisasa yaani tren za umeme ,tuliahidiwa vyombo vya kisasa vinavyo endana na wakati uliopo na kutuonyesha picha kabisa jinsi zitakavyo kuwa .

Lakini leo zilizo letwa ni mabeheha matoleo ya kizamani kabisa ,hii ina maana gani kama si utani na dharau kwa watanzania??
View attachment 2425213View attachment 2425214
 
Ndugu washika dau wa hapa , ikumbukwe wakati wa kuanza mradi wa ujenzi wa njia za tren za kisasa yaani tren za umeme ,tuliahidiwa vyombo vya kisasa vinavyo endana na wakati uliopo na kutuonyesha picha kabisa jinsi zitakavyo kuwa .

Lakini leo zilizo letwa ni mabeheha matoleo ya kizamani kabisa ,hii ina maana gani kama si utani na dharau kwa watanzania??
wamekarabati vyuma chakavu wakaleta
 
View attachment 2424543mbona kama old wine in a new bottle. Hayo mabehewa si kama haya ya deluxe tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila wabongo tuna nongwa. Hapo kuna muungwana kasema hata sido wanaweza tengeneza hayo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Malisa anasema hayo mabehewa kwa ujerumani yamewekwa makumbusho watu wanaenda kuyaangalia ila sisi ndiyo tunayaleta kwa kutumia.

Inasikitisha Sana.
 
Majitu ya nchi hii hayakawii kubadirisha na hivi wanajua Raisi analala fofo
 
Si walisema lile lilikua la kutest mbona ndio yanayoletwa?au mimi ndio sijaelewa picha
Baada ya kutest wala nchi wakaona lilelile la kutest ndiyo linafaa.Kazi iendelee 🤣🤣
 
Sasa umeme watatumia huu huu wa Maharage na Kipara au hizi treni zimefungwa solar system!!
 
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa..

Mabehewa ya trains za sgr yameanza kuwasili Nchini.

Tuliambiwa mwezi January sgr ya Morogoro inaanza kufanya kazi.

Hongera TRC na hongera Rasi Samia kwa kutekeleza kwa vitendo..Kazi iendelee👇

View attachment 2424723
Kwamba b4 assembling na after assembling.

Leo ndo nimethibitisha ulivyo hamnazo.

Viongozi watambue wanaoongoza WATU sio Mbuzi- Mzee Butiku alisema, nanukuu.
 
Mi naona kwangu kitakachomata zaidi ni kufukia uwezo uliokusudiwa (speed comfortability)ndugu zanguni vitu vya serekali ni standard, mbembe nyingi ni gharama kwako ewe mlipa Kodi.
Hayo mnayona kwenye mitandao ni ya kampuni binafsi.
Angalieni hata majengo ya serikali hayana mbwembwe kama vibanda vyetu, nyumba room tatu Ina Kona hamsini na rangi kachumbari
 
Back
Top Bottom