Napenda kila mtu ajuwe Kiongozi ni mwanadam kama sisi ila sote hatuwezi kuwa viongoz nilazima mtu mmoja asimame kwa niaba ya wengine kwa mataifa ya Dunia ya kwanza nafasi nyeti za kitaifa kuzipata unapita ktk moto na mara nyingi Huwa ni elite people wanapata hizo nafasi.
Wenzetu wana angalia mambo mengi sana wenzetu wana mifumo mizuri sana kuwapima na kuwapata viongozi Yani wenzetu kuwa Rais hakukupndolei Kinga kuburuzwa mahakamani kwa maamuzi mabovu na yenye kutia hasara Taifa.
Wenzetu wapo mbali sana jamani Yani Utaifa wao kwanza sio vyama au chama yani mifumo ya usalama ipo imara huwezi sikia wale top security team wanaguswa guswa kisiasa never ever.
Kwanini nasema hivi napata tabu sana watanzania tuna shida tunahitaji dawa na kisomo. Hivi unajiuliza bei ya vitu ilivyopanda alafu mtu anasimama nakusema mam anaupiga mwingi alafu same mtu huyo analia njaa pembeni hivi kweli tumelaaniwa ama tumekosa Nini hasa sisi wa Tz?
Bei ya mchele imefika book 4 unga umepanda, mahindi yamepanda maharage ndio usiseme hivi kweli tuna Manisha au tunafanya masihara?
Mataifa jirani yanakusanya kila kitu yanapeleka kwao sisi tunasema anaupiga mwingi kweli au tunatania. Yani mpaka waziri anasimama anasema mama anaupiga mwingi while wizara yake imemshinda hivi kweli mnajuwa kile mnasifia au mpaka muanze kulia kwenye majumba yenu ndio mtajuwa hii sasa imeingia.
Bei zitapanda na mbaya kuliko yote ni Dola kupanda wasomi isaidieni serikali hapa Kuna watu wanafikiri wana mkomoa marehem kumbe marehem hakomolewe na mara zote majuto ni mjukuu samahani kama nakosea kwa wizara nitazigusa ila kuliponya Taifa waziri wa fedha, Nishati na waziri wakilimo wanapaswa kujitafakari. Bundi analia milangoni mwao kwa maono yangu. End