Bei ya chakula ipo juu halafu mtu anasema Mama anaupiga mwingi

Kalime na wewe! Kama huwezi kulima endelea kununua kwa bei juu!
 
Nataka nikwambie Sali kwa dini yako hujuwi kinacho tokea.
 
Nataka nikwambie Sali kwa dini yako hujuwi kinacho tokea.
Wewe nabii Koko unajuwa nini? Mimi niko Mbeya na kazi yangu ni kilimo!! Acha kutisha watu ili kupata umaarufu wa mtandao.

Mvua zinanyesha na mazao yataota kama kawa kwa mikoa yote ya wakulima. Mwezi wa 4 hapa bei zitateremka. Hapa hafi mtu labda ufe wewe TumainiEl kwa uvivu wako
 
Sawa Chawa umeshinda
 
Acha roho ya korosho ni wakati wa sisi wakulima kunufaika na ongezeko la bei kwa bidhaa za mazao. Hakuna kukopwa kama huko nyuma malipo ni taslimu.
Sawa Chawa endelea kuupiga mwimbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…