Bei ya kubadilisha dola leo ni Tsh 2418 kununua na Tsh 2442 kuuza. Je, hii ni dalili ya nini?

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Soma hapa:-
IMG-20241211-WA0042.jpg
 
Mahitaji ya dola yamepungua. Au pengine katika balansi ya biashara ya kuagiza bidhaa nje na kuuza, mauzo ya nje yamekuwa makubwa kushinda uagizaji wa nje.

Vinginevyo kuna wahuni wanaingiza dola nchini kinyemela na kuziingiza kwenye mzunguko. 😂
 
Jibu ni FDI imeongeza ,Exports zimeongezeka,Utalii umeongezeka yaani Kila kitu Sasa ni 🔥🔥

Huoni Machadema yamekosa hoja huko ?👇👇

View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1856649634879295949?t=LcX5SRTceBMeDc3utMBmqg&s=19
 
Back
Top Bottom