Bei ya kubadilisha dola leo ni Tsh 2418 kununua na Tsh 2442 kuuza. Je, hii ni dalili ya nini?

Machadomo na Wafuasi wa Mwendazake lazima wachukie mafanikio ya Samia 😂😂

Kiufupi hawana hoja Kila kitu kuanzia bei za misosi Hadi Mafuta mambo yamenyooka

Unakosea. Samia hakufika hapo kwa kumshinda JPM. Amefika hapo sababu JPM alifariki. Msianze kumletea mikosi kwa haya maneno yenu yanayokosa utu na kusahau mlikotoka.
Kumbukeni bado hamjafika. Safari inaendelea. Na waswahili wanasema hujafa hujaumbika. Muacheni JPM apumzike kwa amani
 
JPM angekuwepo hali ya vyuma kukaza na maisha kuwa ya kama ya Zimbabwe ndio ingekuwa stahiki ya Tanzania Kwa sababu ya sera zake mbovu za watu kuishi kama mashetani zilizokimbiza wawekezaji,za kupora watu hela,kupora Dola ,kutoajiri huku akisingizia Sgr na bwawa na hela hana bila kusahau kujifungia ndani.

Ndio Mungu akaona tusifike huko akamleta wa kututoa huko na Kwa vile Wafuasi wa Mwendazake na Machadema wakidai huwezi na hakuna alichofanya Sasa hivi ni mda mzuri Sasa wa kuwaumbua na kulinganisha.

Mpende au msipende tutalinganisha ligacy 😆 😆 👇 👇

View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1856649634879295949?t=LcX5SRTceBMeDc3utMBmqg&s=19
 
JPM angekuwepo hali ya vyuma kukaza na maisha kuwa ya kama ya Zimbabwe ndio ingekuwa stahiki ya Tanzania Kwa sababu ya sera zake mbovu zilizokimbiza wawekezaji,za kupora watu hela,kupora Dola ,kutoajiri huku akiwaza Sgr na bwawa na hela hana bila kusahau kujifungia ndani.

Ndio Mungu akaona tusifike huko akamleta wa kututoa huko na Kwa vile Wafuasi wa Mwendazake na Machadema wakidai huwezi na hakuna alichofanya Sasa hivi ni mda mzuri Sasa wa kuwaumbua na kulinganisha.

Mpende au msipende tutalinganisha ligacy 😆 😆 👇 👇

View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1856649634879295949?t=LcX5SRTceBMeDc3utMBmqg&s=19

Unaongea upuuzi mtupu. Ndio shida wenye akili wamekaa kimya na wajinga wamechukua siti za mbele. Dola imepotea wakati gani?
Na shilingi imepotea wakati gani? Akili zako ndogo. kariri mambo madogo madogo halafu danganyana na wenzako.
Hii safarfi bado na sio rahisi kama unavyofikiria. Kaa kimya ona na tazama. Hakuna kitu kibaya kama kuidangana nafsi
 
Unakosea. Samia hakufika hapo kwa kumshinda JPM. Amefika hapo sababu JPM alifariki. Msianze kumletea mikosi kwa haya maneno yenu yanayokosa utu na kusahau mlikotoka.
Kumbukeni bado hamjafika. Safari inaendelea. Na waswahili wanasema hujafa hujaumbika. Muacheni JPM apumzike kwa amani
Anapumzikaje kwa ule ushetani wake??
 
Unaongea upuuzi mtupu. Ndio shida wenye akili wamekaa kimya na wajinga wamechukua siti za mbele. Dola imepotea wakati gani?
Na shilingi imepotea wakati gani? Akili zako ndogo. kariri mambo madogo madogo halafu danganyana na wenzako.
Hii safarfi bado na sio rahisi kama unavyofikiria. Kaa kimya ona na tazama. Hakuna kitu kibaya kama kuidangana nafsi
Hujui misingi ya uchumi unavyofanaya kazi kaa kimya.
 
Akili zako kubwa ziko wapi? Weka hapa thzione wewe kiazi.

Dola ilianza kupoteza awamu ya 5 na ndio maana Mwendazake alipora watu wa Bearea de Change(Mama amewarudishia hela zao).

Shilingi pia ilianza kupoteana awamu ya 5 na ndio maana Mwendazake alitishia kubadili maana watu waliacha kuweka hela Benki kuogopa kuporwa na Mwendazake,usijitoe ufahamu.

Kiufupi Kila sekta ilianguka kipindi hicho kuanzia biashara,Kilimo ,Ardhi Hadi Huduma za jamii.

Wewe na wapuuzi wenzako ndio mlikuwa mnamdanganya Jiwe,mliharibu Kilimo eg mbaazi,korosho,mahindi nk ikafikia mahala mumekosa wanunuzi eti mnapeleka Jeshi kusomba korosho,kama wachawi vile.

Mama amebadili upuuzi huo Sasa hivi ni Neema kwenda mbele kama hivi 👇 👇

View: https://www.instagram.com/p/DDPyUMktFWN/?igsh=MTZnM2E4Mmg2Zno5MA==

Mwisho wewe ndio mpuuzi
 
Hujui misingi ya uchumi unavyofanaya kazi kaa kimya.

Ndio maana nasema wajinga wamekaa siti za mbele kama kawaida. Kila swali gumu wanalijibu kirahisi tu na kumuhukumu JPM ili waendelee kula wasipopanda. As if inatusaidia watanzania wote
 
Akili zako kubwa ziko wapi? Weka hapa thzione wewe kiazi.

Dola ilianza kupoteza awamu ya 5 na ndio maana Mwendazake alipora watu wa Bearea de Change(Mama amewarudishia hela zao).

Shilingi pia ilianza kupoteana awamu ya 5 na ndio maana Mwendazake alitishia kubadili maana watu waliacha kuweka hela Benki kuogopa kuporwa na Mwendazake,usijitoe ufahamu.

Kiufupi Kila sekta ilianguka kipindi hicho kuanzia biashara,Kilimo ,Ardhi Hadi Huduma za jamii.

Mwisho wewe ndio mpuuzi

safari bado ndefu.....muda utaongea😂😂😂😂. Mbio hizi ni za vijiti. lazima kuachiana
 
Naona watu wanaongea kama vile wamemaliza. nawazoom tu. CCM ni chama, tena kina wenyewe 😂 😂 😂 😂
Usitutoe kwenye reli,hoja hapa ni mambo Mazuri ,ya faida na ya maana amefanya Samia na sio hizo za Kisiasa.

Kwani wewe unadhani ni lazima SSH awe Rais hata kuanzia 2025?

Swala la msingi kwamba ameacha alama na we are proud of her na tunaweza Sasa kulinganisha Kwa jeuri kabisa mambo yake na watangulizi wake 👇👇

View: https://x.com/GileadTeri/status/1866403360321978739?t=-m-pSom7gry6cS6vjtwBAg&s=19
 
Back
Top Bottom