Mambo mawili yaweza kuwa sababu yakushuka kwa fxSoma hapa:-
View attachment 3174398
1. Kwa Tz soko halipo huru hivyo serikali anaweza shusha kuleta panic kwenye soko while wakiwa na nia yakufanya watu wa deposit fx wamefungia kwenye locker
2. Mabadiliko ya sera na uchumi kubadilika upo uwezekano demand imeshuka while supply is high mnajuwa serikali imepiga marufuku matumiz ya fx kwenye malipo pia mauzo makubwa ya korosho,kahawa, maindi na dhahabu (BOP balance)