LUTULWITU
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 584
- 983
Taarifa njema sana hiiSoma hapa:-
View attachment 3174398
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa njema sana hiiSoma hapa:-
View attachment 3174398
Mbona shilingi yetu imeimarika dhidi ya shilingi za Kenya, Uganda na faranga za Rwanda na Burundi pia?U.S imeshusha interest rate,mwezi wa 9,effect huonekana miezi mitatu mbele
kwanza namshukuru Mungu kwa siku njema hii,Pili natoa pongezi kwa serikali ya JMT inayoongozwa na Amiri Jeshi Mkuu Mama yetu SSH kwajitihada kubwa za kupambania uchumi wetu na hii ni dalili kubwa ya kukua kwa uchumi wa taifa letu.JMT kazi iendeleeSoma hapa:-
View attachment 3174398
William Rutto mwenyewe kakillk hapa halafu mjinga mmmoja anaitwa BLACK MOVEMENT anaharisha maneno mdomoniRebasing hiyo, maana yake Gdp inaenda kufika dola bill 100 na by next year kenya bye bye
Mjinga hubishana bila takwimu/facts,ila akielekezwa huelewa,hana takwimu hataki kuelewa hugeuka ni mpumbavuMbona shilingi yetu imeimarika dhidi ya shilingi za Kenya, Uganda na faranga za Rwanda na Burundi pia?
Wewe ndio mpumbavu wa mwisho, una simu unashindwa hata ku google hapo trend ya Tshs vs Kshs au Ugsh, ndani ya mwezi huu ikoje kabla ya kuanza kuandika pumba? Unanza kuleta ukuaji kumbe mbubumbuMjinga hubishana bila takwimu/facts,ila akielekezwa huelewa,hana takwimu hataki kuelewa hugeuka ni mpumbavu
Shilingi ipo strong dhidi ya hizo ulizozitaja toka mwaka huu umeanza.
Kipindi hiko USDTZS IPO very strong,.......Dola imeanza kushuka kuanzia mwezi WA Tisa mwaka huu sababu ya kushusha interest rate,31 August,then 31 October,........mwezi huu U.S CPI imekua kubwa then feds imeplan kushusha interest rate,so currencies ni speculative business thus why $ IPO weak against others currencies all over the world.
Yaani mauzo ya nje ya $7 billion........utajiri wa Jay-Z,Kanye na Benyonce tu......uifanye $ iwe weak?😃😃
Sasa tujiulize,mimi na wewe ni wajinga ama wapumbavu?