ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwa nini? Kama akija Rais anawaza ujamaa kutoka hiyo dini yenu lazima nitampinga kama navyompinga Mwendazake2030 utafuta kauli hii!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini? Kama akija Rais anawaza ujamaa kutoka hiyo dini yenu lazima nitampinga kama navyompinga Mwendazake2030 utafuta kauli hii!
HazipoSoma #14
Niko Nairobi! Rate ya USd imeshuka pia,ila USD hakunaJibu ni FDI imeongeza ,Exports zimeongezeka,Utalii umeongezeka yaani Kila kitu Sasa ni 🔥🔥
Huoni Machadema yamekosa hoja huko ?
😂😂😂Kwanza kabisa napenda nimshukuru mama...View attachment 3174412
Kamuulize Ruto ,mambo ya huko tukujibie sisi?Niko Nairobi! Rate ya USd imeshuka pia,ila USD hakuna
Hujakosea na mtakula sana mwema ya Samia 👇👇Kwanza kabisa napenda nimshukuru mama...View attachment 3174412
Km unahela za madafu huu ndio muda wakununua dollar nyingi weka ndan or funguo account ya dollar xmass/mwaka mpya zitakusaidia sana hizo and hela ya TZ ni volatile sana chochote kinaweza tokea.Soma hapa:-
View attachment 3174398
Kwa sera alizoweka mama za biashara na kuvutia uwekezaji Dola itawakata zaidi.Km unahela za madafu huu ndio muda wakununua dollar nyingi weka ndan or funguo account ya dollar xmass/mwaka mpya zitakusaidia sana hizo and hela ya TZ ni volatile sana chochote kinaweza tokea.
Kiuchumi hapo shilingi imepanda thamani kwenye soko la Dunia.Soma hapa:-
View attachment 3174398
Kazi nzuri aliyoiacha Mafuru inafanya kazi katika muelekeo Chanya. Ukimsikia Rais maelezo yake, utajua yalikuwa yanatoka moyoni.Soma hapa:-
View attachment 3174398
Zikiwa hazipo zitapanda bei tu - Demand and Supply. Ulimsikia Rais Samia akisema tatizo sasa hivi ni Shilingi. Yaani Dola Zipo lakini shilingi za kununua dola ndio hazipo.Na USD zenyewe zinapatikana? Cash na bank transfers? Maana unaweza kuta rate ndogo ila ukifika unaambiwa hazipo
DelilaZikiwa hazipo zitapanda bei tu - Demand and Supply. Ulimsikia Rais Samia akisema tatizo sasa hivi ni Shilingi. Yaani Dola Zipo lakini shilingi za kununua dola ndio hazipo.
Ukipata msaada wa kujenga miundo mbinu na mtoa msaada akakuwekea hizo Hela kwenye nchi Yako, mambo yatakuwa kama ilivyotokea
Kupanda kwa thamani Kuna hasara zake pia, ndio maana unaweza kuona currency ya nchi zinazo zalisha sana Zinajitahidi kuwa mabasiliko madogo kwa wakati wote, na ikitokea yamekuwa makubwa nchi kama china hawajiulizi mara 2 wanashusha thamani ya sarafu Yao.Naombea ishuke hadi Sh 2200, $15,000 itakuwa 33mil na sio 42mil kama ilivyokuwa awali