Bei ya kubadilisha dola leo ni Tsh 2418 kununua na Tsh 2442 kuuza. Je, hii ni dalili ya nini?

Bei ya kubadilisha dola leo ni Tsh 2418 kununua na Tsh 2442 kuuza. Je, hii ni dalili ya nini?

Kwanza kabisa napenda nimshukuru mama...
IMG-20241007-WA0000.jpg
 
Km unahela za madafu huu ndio muda wakununua dollar nyingi weka ndan or funguo account ya dollar xmass/mwaka mpya zitakusaidia sana hizo and hela ya TZ ni volatile sana chochote kinaweza tokea.
Kwa sera alizoweka mama za biashara na kuvutia uwekezaji Dola itawakata zaidi.

Ukitaka Dola ikulipe uwe unacheza na hali ya hewa,majanga na siasa.

Mfano ukiona kuelekea 2030 Mgalatia anakuja kushika Urais basi nunua hizo Dola Kwa Wingi maana Shilingi itaporomoka
 
Kazi nzuri aliyoiacha Mafuru inafanya kazi katika muelekeo Chanya. Ukimsikia Rais maelezo yake, utajua yalikuwa yanatoka moyoni.
Vile vile ni uthibitisho wa takwimu anazozitoa Kafulilo kwa vitendo.
Haya ni maelezo yangu moyoni: Rais Samia sio malaika, ni kweli uchaguzi wa S/Mitaa, vijiji ulikuwa ni UCHAFUZI. Lakini anavyoujenga uchumi endelevu, kweli anapiga katika mshono. Ni zawadi toka kwa M Mungu. Akipata 5 mingine, Hakuna nchi Afrika mashariki na kati itayotushika. Tuunge mkono maendeleo ya uchumi, tumuunge mkono Rais Samia .S. H.
 
Naombea ishuke hadi Sh 2200, $15,000 itakuwa 33mil na sio 42mil kama ilivyokuwa awali
Kupanda kwa thamani Kuna hasara zake pia, ndio maana unaweza kuona currency ya nchi zinazo zalisha sana Zinajitahidi kuwa mabasiliko madogo kwa wakati wote, na ikitokea yamekuwa makubwa nchi kama china hawajiulizi mara 2 wanashusha thamani ya sarafu Yao.
 
Back
Top Bottom