Bei ya kubadilisha dola leo ni Tsh 2418 kununua na Tsh 2442 kuuza. Je, hii ni dalili ya nini?

Mahitaji ya dola yamepungua. Au pengine katika balansi ya biashara ya kuagiza bidhaa nje na kuuza, mauzo ya nje yamekuwa makubwa kushinda uagizaji wa nje.

Vinginevyo kuna wahuni wanaingiza dola nchini kinyemela na kuziingiza kwenye mzunguko. πŸ˜‚
 
Jibu ni FDI imeongeza ,Exports zimeongezeka,Utalii umeongezeka yaani Kila kitu Sasa ni πŸ”₯πŸ”₯

Huoni Machadema yamekosa hoja huko ?πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1856649634879295949?t=LcX5SRTceBMeDc3utMBmqg&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…