Mambo mawili yaweza kuwa sababu yakushuka kwa fxSoma hapa:-
View attachment 3174398
Na ndivyo ilitakiwa Serikali ifanye Toka Mwanzo,why ku koti bei za bidhaa na Huduma za ndani ya Nchi Kwa kutumia Dola badala ya Shilingi kama sheria inayotaka?Mambo mawili yaweza kuwa sababu yakushuka kwa fx
1. Kwa Tz soko halipo huru hivyo serikali anaweza shusha kuleta panic kwenye soko while wakiwa na nia yakufanya watu wa deposit fx wamefungia kwenye locker
2. Mabadiliko ya sera na uchumi kubadilika upo uwezekano demand imeshuka while supply is high mnajuwa serikali imepiga marufuku matumiz ya fx kwenye malipo pia mauzo makubwa ya korosho,kahawa, maindi na dhahabu (BOP balance)
Kuna msimu wa korosho huko Mtwara na Lindi, nayo tourism imefumuka vibaya sana.At least shilingi inajututumua. We are strong economical lakini ni nini tunachouza mpaka tumefikia hatua ya kuimarisha shilingi kwa zaidi ya Tsh 200 ndani ya mwezi? Isije kuwa serikali ndo inauza dola zake kwa wingi Ili kuokoa shilingi.
Serikali ilizuia miamala ya bidhaa na Huduma za ndani ya Nchi kufanywa Kwa Dola.At least shilingi inajututumua. We are strong economical lakini ni nini tunachouza mpaka tumefikia hatua ya kuimarisha shilingi kwa zaidi ya Tsh 200 ndani ya mwezi? Isije kuwa serikali ndo inauza dola zake kwa wingi Ili kuokoa shilingi.
Usitutoe kwenye reli,hoja hapa ni mambo Mazuri ,ya faida na ya maana amefanya Samia na sio hizo za Kisiasa.
Kwani wewe unadhani ni lazima SSH awe Rais hata kuanzia 2025?
Swala la msingi kwamba ameacha alama na we are proud of her na tunaweza Sasa kulinganisha Kwa jeuri kabisa mambo yake na watangulizi wake ππ
View: https://x.com/GileadTeri/status/1866403360321978739?t=-m-pSom7gry6cS6vjtwBAg&s=19
U.S imeshusha interest rate,mwezi wa 9,effect huonekana miezi mitatu mbeleTsh imepanda hii ni dalili tunauza sana nje ya nchi.
Tanzania Kwa asili ni Nchi ambayo ni conservative hayo hayawezi kutokea .Kama hatuwezi ku control spending, twafa mwanafyale. Maana tunachokusanya hakitoshi. Tuna mzigi mkubwa wa madeni.
Na bado tunaendelea kukopa. Kenya, Mozambique na nchi nyingine kadhaa ziliingia kwenye mtego huo na kupata tabu sana.
Mozambique walitegemea gas imewa kuwa haraka wakaanza kulipa. Ikachukua muda na kuna wanaojiita waasi wamechelewesha.
Kenya, bomba la mafuta lilipiga kona na kuja kwetu. Moja ya investemnt waliyokuwa wanaitegemea sana ili kuwezesha uchumi wakianza kulipa.
Hapa kwetu pia. Lazima tuwe na jitihada za makusudi kupunguza matumizi yasiyo ya lazima. Mkikaa viti vya mbele sio kunywa juice ya tende tu mkasahau kushauri na kusimamia namna nzuri za kuendesha uchumi
Wagalatia wana nini mkuu kiasi cha kushusha thamani ya sarafu yetu?Mfano ukiona kuelekea 2030 Mgalatia anakuja kushika Urais basi nunua hizo Dola Kwa Wingi maana Shilingi itaporomoka
Akomeshe vitendo vya wasiojulukana ili wananchi kwa ujumla wao wafurahie matunda ya kazi zake.Kazi nzuri aliyoiacha Mafuru inafanya kazi katika muelekeo Chanya. Ukimsikia Rais maelezo yake, utajua yalikuwa yanatoka moyoni.
Vile vile ni uthibitisho wa takwimu anazozitoa Kafulilo kwa vitendo.
Haya ni maelezo yangu moyoni: Rais Samia sio malaika, ni kweli uchaguzi wa S/Mitaa, vijiji ulikuwa ni UCHAFUZI. Lakini anavyoujenga uchumi endelevu, kweli anapiga katika mshono. Ni zawadi toka kwa M Mungu. Akipata 5 mingine, Hakuna nchi Afrika mashariki na kati itayotushika. Tuunge mkono maendeleo ya uchumi, tumuunge mkono Rais Samia .S. H.
Matunda ya DP World, biashara Tanzania imepanda.Soma hapa:-
View attachment 3174398
Inategemea na wingi wake.Kwani wahuni wakiingiza dola nchini kinyemela juna shida gani?
Muulize samia na mwiguluUnaficha Shillingi ili uipate nini?
Export ya nini? wajinga nyie, Taja vitu tunavyo export, kwani ilivyo panda nani alikuwa kiongozi? Mnashangilia ujinga tupu.Jibu ni FDI imeongeza ,Exports zimeongezeka,Utalii umeongezeka yaani Kila kitu Sasa ni π₯π₯
Huoni Machadema yamekosa hoja huko ?ππ
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1856649634879295949?t=LcX5SRTceBMeDc3utMBmqg&s=19
Wewe ni fala ,ukasome ripoti ya BoT Utajua,Export ya nini? wajinga nyie, Taja vitu tunavyo export, kwani ilivyo panda nani alikuwa kiongozi? Mnashangilia ujinga tupu.
Tz imepanda hata kwa currency nyingine
Saizi dollar hata elf 50 kama una account ya dollar NMB unapewa bila shida.......na kwa wanunuaji zipo hata kwenye bureau change unaweza kuta rate ya kuuza ni kiasi fulani,dollar ilivyo nyingi ukafika ndani ukanegotiate ukanunua kwa chini ya amount iliyokwenye bangoNa USD zenyewe zinapatikana? Cash na bank transfers? Maana unaweza kuta rate ndogo ila ukifika unaambiwa hazipo