Tetesi: Bei ya kununua umeme kupanda kuanzia January unit kuuzwa 511

Zenji ndio wanasababisha yote haya..habilipi deni vinatumia umeme bure..mzigo wanatupiwa watanganyika.

Katika zama hizi za kupambana na matumizi ya mkaa na kuni umeme ulipaswa kuwa ndio nishat ya bei rahisi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hili wala sio tetesi ndio akili za kipara na maharage. Japo hali itaendelea kuwa ngumu sana kwa wananchi. Hivi kwanini serikali isipunguze sherehe,vikao, misafara na hata vyeo ili ikusanywe hela.
 
Bwawa la mwalimu nyerere limekwamia asilimia 70.

Itakua hivyo mpaka 2035.

Kipaumbele chetu ni gesi kwa sasa.
 
Kwani Waziri wa Nishati jina lake nani !.
 
Acha uchochezi lkn siyo kweli hilo
 
CCM CCM CCM, ipo siku Mungu atasikia vilio vyetu. Kupandisha kwa gharama za umeme inamaana na gharama za bidhaa zitaongezeka. Uwekezaji utapungua nchi itazidi kuwa maskini.
We ni mjinga sana na kama watawala wanapitia humu na kusoma.coment za aina hii basi wanafarijika sana na kuona ni jinsi gani wabongo walivyo mazezeta
 
Mh Januari naelewa Bei itapanda kutoka Tsh 357 kwa unit bei ya sasa hadi kufika 511 kulingana na nilivyoambiwa

Halafu nimeambiwa pia tarrif 4 ile ya kununua umeme wa 5000 unapewa units 40 kwa vijijini inaondolewa hakutakua na tarrif 4 tena
 
Hujui ulichoandika hizi ni hisia tu, alafu madeni ya Tanesco na tpdc yamehamishiwa serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…