Tetesi: Bei ya kununua umeme kupanda kuanzia January unit kuuzwa 511

CCM CCM CCM, ipo siku Mungu atasikia vilio vyetu. Kupandisha kwa gharama za umeme inamaana na gharama za bidhaa zitaongezeka. Uwekezaji utapungua nchi itazidi kuwa maskini.
Hakuna MTU atayekuja kuwaokoa
 
Kama ndio hivyo huyu mama ovyo sana
 
Umeme hauwezi panda bei bila EWURA kutangaza kwenye magazeti ili wananchi wajadili.
Wakishajadili ndio maamuzi hufanyika

Na pia bei haiwezi kuwa hiyo milele
We jamaa unaongea nini?

Wakati bei ya Diesel/Petrol inapanda kutoka 2380 kwenda 3500 kwa Lita kumbe mwenzetu ulipewa nafasi ya kuipendekeza hiyo bei mpya?

Hongera kutufanya kupata Lita 3.11 kwa elfu 10 yetu Wakati zamani ilikuwa unapata Lita 5 kwa elfu 10
 
Hujui ulichoandika hizi ni hisia tu, alafu madeni ya Tanesco na tpdc yamehamishiwa serikalini
Serikali ipi sasa mzee? Wanaokopa ni kina nani?

Labda nikuulize tu, kati ya Bia na Umeme, kipi ni muhimu na chenye watumiajia wengi?

Kati ya umeme na sigara je?
Umeme na simu/mawasiliano?

Ni mtanzania yupi anayepewa umeme bure ukiacha wale wa unit 750 kwa mwezi?

Kwanini hao wengine woooote watengeneze faida kufuru, wauza umeme washindwe?
 
Reactions: Cyb
Na kwa jinsi tulivyo tutaishia kulalamika siku 3 then tunamwachia Mungu.

Hii Nchi aliyeturoga angefanya mpango atuzindue. Serikali Haina huruma na Wananchi wake
 
Kwa uchumi ulivyoimarika kwa sasa bado ndogo sana
 
Ulaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]chadema wamefurahi sana sukuma gang kukomolewa kwa kupandishiwa umeme[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mtu anamchonganisha mama na wanachi waziwazi na maza hajastuka mchongo
 
Kwa hiyo hapa unataka tujadili tetesi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…