Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamemtafutia kasafar kdg akackilizie upepo.Kusema ukweli huku kwa ground mambo ni magumu sana kipande cha sabuni ni sh 800
Biashara nyingi za mafuta zina mkono wa wakubwa..so tutulie tuli tuendeleWamemtafutia kasafar kdg akackilizie upepo.
Tumuulize nani juu ya swali hili:
Bill 100 zinaingia mfuko wa akina Nan?
Tuliambiwa itasaidia Bei za mafuta kushuka kupeleka Bei za bidhaa kushuka pia.
Kwann mlidharau ushauri tuliowapa wa kupitia KODI inayotozwa kwenye kila Lita ya mafuta ipungue Kwa at least 800, Bei ingeshuka na impact ingeonekana.
Kwann mawaziri na wabunge wanaagiza na kufanya biashara ya mafuta?
Watawezaje kuwatetea wananchi?
Dah...kwahiyo kawekwa na nani sasa? Baba mwenye nyumba? 🤭Hawezi kumtoa kipara sababu hajamuweka yeye, yeye kazi yake ni kutangaza tu
Mkeka Bado uko vzr.Hili ni Balaa.
Dah ...hapo ndiyo watapiga kwa uzuri sasa 🤣🤣🤣🤣🤣Serikali yatakiwa ikate matumizi, miradi mingine isimamishwe
KweliChonde Rais Samia, utuonee huruma wananchi wako. Tunaonba sana, kwa aina ya uongozi wa Juu kabisa uliouweka kwenye nishati, na kama ukiendelea kuwepo tutaumia na kuishia kukulaumu wewe kila uchao.
Pamoja nar udhuku unayo toa, italiwa na mafuta yatazidi kupaa na bei za Vitu vingine vitapanda kila siku.
Uongozi hauna ubunifu kabisa. Mambo yanawakuta mezani tu na hawana ujanja wowote wa kupambana na mambo makubwa.
Kiufupi ni watu walio zoea dili, dili na wao, wao na dili tangu wazaliwe wako hivyo.
Ukiendelea kutoa rudhuku, italiwa na bei zitapanda vilevile.
Futa uongozi wa Juu na Ondoa hiyo rudhuku ikafanye kazi zingine.
Inaonekana hawazi kabisa ugumu wa maisha tulio nao huku kitaa. Akishakila kuku pale jumba jeusi anatosha.Mkeka Bado uko vzr.
Wale mawaziri 4 vijana kutoboa Dec Bado ni ngumu.
Ngorongoro itaondoa na mtu,
Bei za mafuta pia, fuko kuu na ugumu wa maisha pia pressure Iko juu sana.
Nashauri fukuza mawaziri kupunguza tension nchini, maana mkubwa hakosei. Amen
Mbona kamtoa DG WA TPA kwanini asiwatoe hao wengineMama SSH ana nia nzuri sana na nchi hii sema amezungukwa na mbwa mwitu wabaya sana pande zote.
Ni wapigaji wasio na huruma hata kdg, dawa ni kuachana na haya majizi na kuweka wazalendo na wenye hofu ya Mungu.
Anatakiwa aone MBALI sio kuona MBELE.Inaonekana hawazi kabisa ugumu wa maisha tulio nao huku kitaa. Akishakila kuku pale jumba jeusi anatosha.
Wanasiasa maalufu wote wanalamba asali, so tunaumia wenyewe.
Joto likipanda anasafiri.Hana habari na bei za huku kitaa.
MKUUJoto likipanda anasafiri.
"Watoto wananyeshewa mvua nje, mama amekaa ndani na Hana habari".
Nani aangushiwe jumba bovu term hii?
Ni afukuze baadhi ya mawaziri Hasa Ardhi, fedha na nishati.
Bila kusahau fedha. Fukuza mawaziri wa nishati, ardhi Ili safari ya 2025 isiwe ndeeeefu.Wizara ya Nishati pamoja na EWURA hapa ndio wajanja walipo. Mama choma kichaka chatu watatoka wenyewe.