Bei ya mafuta soko la dunia imeshuka chini ya Dollar 90 Kwa pipa moja Ila EWURA wanasema imepanda

Bei ya mafuta soko la dunia imeshuka chini ya Dollar 90 Kwa pipa moja Ila EWURA wanasema imepanda

Jinsi ya kutengeneza petrol utumie kwenye petrol engine mfano pikipiki, bajaj, gari, jenerator, water pump nk.
Zipo njia nyingi Sana za kupata standard petrol na usiathirike na upandaji bei wa petrol kwa kujitengenezea mwenyewe.
Tengeneza kitu inaitwa ethanol kisha changanya na petrol halisi kwa ratio ya 20/ 80 au 2/8 mfano nunua lita 2 za petrol kisha changanya na lita 8 za ethanol Acha itulie then weka kwenye chombo chako kwa study na majaribio yaliyofanyika engine itafanya Kazi vizuri tu. Hata ethanol pekee bila kuchanganya na petrol , engine inafanya kazi vizuri tu. Jinsi ya kutengeneza ethanol chukua starch au wanga wa unga wa mahindi,au muhogo kisha changanya na sukari au molasisi tia maji koroga weka kwenye ndio au pipa weka na hamira au kivundike. Then ifunike iache ichachuke kwa mda wa siku 7 hadi 10 kisha ichanganye itie kwenye pipa lililozibwa kuzuia oxygen weka mrija wa kutoa mvuke uende kwenye kipoozeo cha kuupooza mvuke kuwa maji hayo maji ndio ethanol yenyewe.
Unaweza pia ukatengeneza methanol pia nayo inawaka ukaendesha engine yeyeto ya petrol. Unaweza ukavuna gas toka kwenye taka za mabaki ya mimea mfano nyasi, miti, mabua, maranda nk ukapata gesi ukaigeuza kuwa petrol. Zipo njia zaidi na zaidi za kuzalisha petrol, wao Acha wapandishe hata lita elf 10 ukiwa mjanja unasukuma v8 lako kwa gharama nafuu tu mafuta ya kujitengenezea mwenyewe.
 
Jinsi ya kutengeneza diesel, unaweza tumia taka za plastic ngumu HDPE, mipira ya tyre za magari, mpira wowote. Oil chafu iliyokwisha tumika, mafuta ya kupikia yaliyotumika, mafuta ya mimea yote inayoliwa, mafuta ya mbegu za mimea isiyoliwa mfano muarobaini, nyonyo, mbono jatrophas, nk. Ukajipatia diesel yako safi kabisa kwa ubora na standard sawa na diesel tuliyoizoea.
 
Ukiangalia kwa sehemu kubwa wamiliki wa vituo vya mafuta ni viongozi wengi serikali,na sehemu nyingine wana share na wafanyabiashara. Ndio maana wakitoka mbele wanakuwa waongo waongo kutembea matumbo Yao

Kwao ni bora sisi tuumie wao wanufaike,sisi ni takataka mbele yao.
Wanalipwa bure,wanakula bure,wanapata huduma zote za msingi kwa kuudumiwa na kodi zetu,ila ndio wanaendelea kutukandamiza.

Ipo siku isiyo na jina haya yatabaki historia,na hawa wanafanya na kujitapa watabaki historia. MUNGU yupo,tujipe muda.
Wanatuumiza sana hawa wana CCM,ni waroho kupitiliza wanatunyonya sana kwa kweli
 
Jinsi ya kutengeneza diesel, unaweza tumia taka za plastic ngumu HDPE, mipira ya tyre za magari, mpira wowote. Oil chafu iliyokwisha tumika, mafuta ya kupikia yaliyotumika, mafuta ya mimea yote inayoliwa, mafuta ya mbegu za mimea isiyoliwa mfano muarobaini, nyonyo, mbono jatrophas, nk. Ukajipatia diesel yako safi kabisa kwa ubora na standard sawa na diesel tuliyoizoea.
mafuta ni biashara za watu,na hao watu ndo watawala wa nchi,na wanaroho mbaya sana shetani awafikii.watakuuwa au akiwa na bahati wakupe kesi ya uhujumu uchumi iwe fundisho kwa wengine watakao thubutu kufanya huo ubunifu.
 
Ndugu zangu watanzania mnakuwa wepesi sana kusahau nawaona humu...

Mnasahau haraka sana yaani, acheni watu warudishe pale palipopungua kutokana na madhira yale, nyie msilalamike kwa kisingizio chochote maana nchi ipo mikono salama siyo ile mliyokuwa mnalia na kusaga meno 😁!.
 
mafuta ni biashara za watu,na hao watu ndo watawala wa nchi,na wanaroho mbaya sana shetani awafikii.watakuuwa au akiwa na bahati wakupe kesi ya uhujumu uchumi iwe fundisho kwa wengine watakao thubutu kufanya huo ubunifu.
Kwa personal use sidhani kama unaweza athiri biashara zao.
Pia market ni kubwa sana ya mafuta yao, tatu Ili uwaathiri biashara zao ni labda uwe capital kubwa Sana ya kuweka plant kubwa Sana si chini ya bilioni 300 totally investment.Wakudhuru kwa lita 100 per day watakuwa ni weu. Labda kuanzia lita laki 1 per day. But still demand ya fuel ni unlimited.
 
Kwani hukumsikia mkurugenzi anasema bei ya mafuta ya sasa imetokea baada ya kununua mafuta ya mwezi June ambayo ndio yanayouzwa mwezi huu wa 7 hivyo bei ya mafuta itashuka baada ya wao kununua mafuta ya mwezi wa 8 yatakayouzwa September

Halafu mkutano walifanya Serena [emoji38][emoji38][emoji38][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Bongo nyoso
Kweli ulimsikiaa vzr mno
 
Hizo hela "ewura" watazirudisha kama mleta mada unasema ukweli!!!
 
Unafikiri makapuni hayataki hiyo ruzuku ya Billioni 100?
Alafu nani mwenye hakika kuwa hiyo ruzuku ni kweli inatolewa???

Kama kanuni wanayofumia EWURA wanayo wao,watashindwa kusema tu Bei kabla ya ruzuku ni hii, na baada ya ruzuku ni hii hapa,alafu kumbe hamna kilichotolewa
 
Inabidi tuwe na sehemu ya watu slow kwenye mtandao huu. Walishasema bei ya Iko miezi miwili mpaka mitatu nyuma lakini bado kuna jamaa wazito kama huyu.
Kwani hao watu wako wakishasema wao ndiyo na wewe akili yako inajifunga haifikirii tena Wala kuulizia maeneo mengine Hali ikoje???

Mbona utakuwa mtu wa ajabu Sana,unakuwa hauna tofauti na speaker ya radio inatoa ilichopewa tu

Nyie ndiyo ambao mtu wa Serikalini akisema Jambo,wengine wakijaribu kuhoji mnasema "ina maana wewe una akiri kuliko flani!!!??"
 
Wameshasema wana nunua miezi miwili kabla
1. Kama haupendi utaratibu tujadili hilo
2. Kama una ushahidi wanadanganya tujadili hilo jambo

Tatizo ni kuweka uzushi bila kuwa na hoja
1. Kama ni utoto wako samahani sana hii ni group ya watu wazima makini
2. Kama ni ushabiki jua tu kwamba ushabiki na kiki hapa hakuna
 
EWURA wao ikipanda huko hata kama walinunua miezi 3 iliyopita watapandisha tu¡ lakini ikichuka uwii huwaoni kamwe.[emoji24][emoji24][emoji24]
Nchi ya wapigaji !! Wamejaa kila sekta !!
 
Mafuta yakishuka bei duniani ndiyo tunasikia hoja ya "bei ya stock waliyonunulia"

Mbona yakipanda bei huko ni kesho yake tu tunapandishiwa bila kujali stock ilinunuliwa lini?
 
Wanasiasa wengi nchini wana hisa katika makampuni ya kuuza mafuta kwahyo wacha waendelee kuwakamua wananchi
 
Si tulipewa luzuku huenda tunalipia ndio tupate bei inayoendana na soko nchi ngumu sana hii.
 
Back
Top Bottom