Kwani tanganyika haina autonomy kisheria ndio maana mafuta yamepanda ?
Tanganyika haina mamlaka kamili kisheria ndio maana mafuta yamepanda ?
Tanganyika hawatumii tumii kodi zao ndio mwana mafita yamepanda mkuu ?
Hizi kauli zilimgharimu yule mbunge wa Nkasi.Muungano wa faida! Visiwani wanatafata sheria ya kiislamu kwenye biashara huku wakilipiwa na bara kila kitu.
mkopo usiokuwa na riba ila bara mtawalipia tu.
Umeme toka bara.
Mafuta
Vyakula
Sisi hatuna tabu ukishakubali kuoa upasi kuogopa kuhudimiaSasa hapo kuna kosa gani? Huu muungano si mliutaka wenyewe? Lazima mgharamike kama mnaona inauma chomoeni.
Acha kupotosha kwani huo unafuu wa bei kwa bidhaa nyingi huko zanzibar umeanza leo?!!Sasa mnafikiri Hangaya anapenda ndugu zake wapate shida, huku bara amekuja kuwatafutia nafuu Ya maisha wazanzibar wenzake
Naaaaam hapo ujue kwamba hizo ndio sababu za mafuta kupanda.Kwenu mafuta yako juu sababu ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania lililotunga sheria inayowagonga kodi kubwa hivyo kufikia bei hizo mnazolalamikia
Kuna haja ya kuwa na sheria inayokataza wazanzibari kuwa viongozi huku bara
Haya timekusikia nenda kamsalimie Shaka Zulu hapo ofisi ndogo za kisiwandui au lumumba nadhaniUP. Ni United Petroleum inamilikiwa na S.S. Bakhressa. Unataka hicho kikampuni kinachonunua mafuta reja reja kishindane na giant anaenunua in huge bulk?
Kafanyaje?Tunapomlaumu mwendazake zake muwe mnatuelewa,
Unaongea upuuzi mtu..zenji nchi kutokea wapi..wakati kila kitu mnategemea Tanganyika..Kwanza ningependa kuwakumbusha kama Zanzibar ni nchi ambayo ina raisi wake, ina Bandari yake na ina kila kkitu chake.
Nimekua sipati majibu kwa nini Watanzania bara walio wengi wao...
Ila mtanganyika wetu hussein kule zenji anaupiga mwingi mkuu..Kama Huyu wa Sasa ndio amewavua Nguo
Zazibar ni nchi kamiri hupanga mamba yao kulingana na hali ya watu wao, viongozi wao ni wazazibar na wana uzalendo sioni haja ya kulalamika, baneni bunge lenu na viongozi wenu.Kwanza ningependa kuwakumbusha kama Zanzibar ni nchi ambayo ina raisi wake, ina Bandari yake na ina kila kkitu chake.
Nimekua sipati majibu kwa nini Watanzania bara...
Zanzibar is a strategic area, lazima tuwapet pet wazanzibarHizi kauli zilimgharimu yule mbunge wa Nkasi.
Kiukweli Tanganyika tunawalisha Zanzibar kama wake zetu, kila kitu, umeme, mafuta, chakula na kila kitu.
Huu muungano ni wa aina yake.
Haya ndio yale makasiriko niliyokua nayaongelea, ivo vitu hua vinakuja bure huku Zanzibar? Na mutushukuru sana wakulima wenu wamepata soko la kuuzia bidhaaa zao kwaa uhakikaUnaongea upuuzi mtu..zenji nchi kutokea wapi..wakati kila kitu mnategemea Tanganyika..
tuanze na umeme lipeni den...