Wape wapeee vidonge vyao, wakimeza wakitema shauri yaooo.Mnatoa bure ivyo vitu ata mseme mnatulisha? 😀 vitunguu maji dubai rahisi kuliko apo kwenu. Hebu fanyeni kuzuia bidhaa zenu muone kama tutakufa njaa. Sukari tunaitoa brazil ikifika hapa rahisi kuliko inayotoka mtibwa, saruji inatoka dubai ikifika hapa rahisi kuliko inayotoka hapo Tanga tu.
Mbona huyu ndie kaja kuleta usawa.Mama ni Rais wa Tanzania lakini atafanya kila hali kuipendelea Zanzibar
ndioWe umeona kuna serikali ya tanganyika?
Yaani Zenji wana Danfa lao linalo itwa Tanganyika aisee nimecheka kwa sauti kuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona wana tufanyia hivyo lakini? wata tufanya tuone huu muungano hauna maana aisee kwa sababu wa Zanzibar ni kama wana faidika zaidi na huu muungano kushinda sisi wa bara [emoji24] maana yake nini sasa!Zenji hawana Tozo nyingi...tozo zikishakatwa bara zenji wanamgao wao inform of umeme, madawa e.t.c sawa na wanadanga lao linaitwa Tanganyika.
Wazanzibar sasa hivi watalamba asali kisawasawa.Sio mafuta tu.. Zanzibar hata bidhaa za vyakula kutoka nje Kama sukari na mafuta it's cheaper compare to bara..
Ila mtanganyika wetu hussein kule zenji anaupiga mwingi mkuu..
Kiasili huseni ni mtanganyika sio mzanzibari,ila kimakaazi ni mzanzibari kwa sababu baba yake alienda kule miaka mingi sana.Yule ni mzanzibar kwa taarifa tu ,baba yake alikua rais wa znz znz hawezi kuekwa rais ambae si mznz ni katiba
Nauliza kwanini kuwe na tofauti ya bei katika nchi moja?Ni kweli, bei huko duniani iko juu; na kodi ikipunguzwa kwenye mafuta, kuna mipango itakwama
Kuna kitu kinaitwa 'sacrifice' ndio kinachofanyika; mfano kama kwenye bajeti, walisema watakusanya kiasi fulani, leo uondoe hayo mapato itakuwaje?Nauliza kwanini kuwe na tofauti ya bei katika nchi moja?
Usilinganishe Znz na Tanganyika. ZNZ BAJETI yake ni ka trilioni kamoja tu , bara trilioni 30. Znz ni kaeneo kadogo tu kwa hio hio 2600 bado ni kubwa kwa znzNaomba kuuliza wakuu,
Mama alisema tusilalamike bei ya mafuta (petrol) kupanda kwani suala la vita Kati ya Ukraine na Russia limeathiri bei ya mafuta duniani kote. Ndugu zetu WA visiwani (Zanzibar) bei ya petrol kwa lita moja ni Tshs.2642/= na enzi za shule tulisoma moja ya mambo ya union matters yanayotuunganisha pia ni maswala ya mafuta kama sikosei. Je, kwanini kwa wenzetu bei haijapanda?
Acha tu mkuuTumepigwa na kitu kizito sana chenye ncha kali kichwani...