Bei ya vyakula vya mahoteli/migahawa ya njiani kwa wasafiri wa mabasi iangaliwe na mamlaka husika

Bei ya vyakula vya mahoteli/migahawa ya njiani kwa wasafiri wa mabasi iangaliwe na mamlaka husika

Kitu ambacho wengi hawaelewi katika biashara hii ni kuwa hawa wanategemea biashara yao kwa wateja (wasafiri) tu kwa sababu wako mbali na jamii nyingine
Kwa hii kuuza kwao wanasubiri bus lije ndio wauze na bus likiondoka hakuna wateja tena, panakuwa kimya na biashara hakuna
Hapo chakula kikilala hawakitupi bali wanasubiri siku ya pili na matokeo yake kinakuwa na madhara kwa watumiaji

Bei wanaweka juu zaidi kwa kufidia vyakula vinavyoharibika na kumwagwa kama vipo na huu ndio ukweli ninaouona kwa logic tu
Kama wewe ni msafiri ni bora kujiandaa hata kujikaangia nyama na hata maandazi au biscuits na juice zako kadhaa na usisahau maji
Safari yenyewe ni ya masaa, hata kama masaa 10 lakini lazima ujipange hata kama ni ya ghafla
Huwezi kukosa mda wa kununua biscuits [emoji514] na maji
Tabia ya kwenda kula vitu vilivyopikwa ni kujitafutia matatizo tu

Kuna machungwa Na apple [emoji519] sio lazima ujaze tumbo kama upo nyumbani
Kumbuka hiyo ni safari
 
Ndio maana mimi huwa nakaanga kitimoto kabisa cha kula njiani. Najua nitanunua soda au maji tu. Elfu sita huku kwetu unapata kitimoto kilo 2
Kwamba kilo moja elfu tatu,nusu kilo elfu moja mia tano? Yaani kitimoto iwe bei rahisi hivyo kushinda hata maharage? Mzee hebu ukitaka kutudanganya ujipange maana humu sisi sio watoto wadogo wala Facebook
 
Mmmmh Dar to Mwanza tulitoka Ubungo saa 12 asubuhi kufika saa 5 usiku... Hiyo sasa ni zaidi ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani...
Mimi nimewahi safiri nikipokula tu Dodoma tumbo likanisumbua afu derevq anazingua nilienda hadi pale kwake nikamwambia namaliza hapa hapa. Mbona alisimamisha gari nikaenda maliza shida ya tumbo na safari nikaishia njiani
 
Kwakweli haya maisha ya kununua chakula nilishaachaga zaman kabisa.Nikiwa nasafiri lazima ninywe chai na mkate ndio nitoke nikapande basi

Na nikiwa njiani nachukuaga soda y take away na biscuit tu basi,hapo hats msafara uwe wa siku mbili nafika
 
Watu walimaindi sana ila ndo hivo tena tumbo likipanga hakuna wa kupangu[emoji16][emoji16]
Hakushuka hata kujisafisha na kubadilisha nguo?

Safari ilikuwaje?
 
Mimi nimewahi safiri nikipokula tu Dodoma tumbo likanisumbua afu derevq anazingua nilienda hadi pale kwake nikamwambia namaliza hapa hapa. Mbona alisimamisha gari nikaenda maliza shida ya tumbo na safari nikaishia njiani

Kwamba basi lilikuacha ama..
 
Hakushuka hata kujisafisha na kubadilisha nguo?

Safari ilikuwaje?
Gari ilisafishwa ila hakuendelea na safari, nadhani alihitaji kupumzika na kupata dawa.
 
Kuna mzee ilikua ni New Force ya mbeya alijistiri humo humo ndani ya Basi, gari ilibidi isimame harufu ilitawala halaf mzee kajikausha tu, nadhani ilikua siku mbaya sana kwa yule mzee.
Dooohhhh.. Aibu ilioje[emoji16]
 
kama unatumia pombe kunywa pombe kali mfano konyagi kidogo njia nzima hutakojoa
kitu pekee ambacho huwa kinanipa shida kwenye safari ni mkojo tu... na hiyo ni kama tu safari yangu inaanzia sehemu ambako kuna baridi... labda njombe to dar au mbeya to dar...

Huwa sina tabia ya kula vyakula vilivyopikwa njiani...
 
Gari ilisafishwa ila hakuendelea na safari, nadhani alihitaji kupumzika na kupata dawa.
Seat yake sidhan kama alikaa mtu tena ..hata yule wa pembeni yake nae[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom