Beijing: China yaiwekea vikwazo kampuni ya utengenezaji wa chips ya Marekani (Micron)

True Kuna watu wanadhani china ikiwa super power basi ndio itakuwa poa. Nataka nikwambie hakuna Taifa duniani linasheria mbaya kuhusu wanadam kama China. Taifa linalo kula kitu sitaki kiamini watu hawali... Taifa linavuna viungo vya watu sitaki kuamini Kuna utu na ubinadam. China inaongoza kwa kwa kunyonga na mbaya kuliko yote hawana dini inayoitwa Ukristo au uwisilam. Nimeshanga sana Iran kusema wao ndio wapatanishi while waislam wanajuwa Habari ya china.
 
Sera na sheria za kulinda na kuheshimu haki za binadamu ni Bora na zinafaa zilindwe popote pale Duniani.
 
China ikipoteza soko la bidhaa la Marekani na Ulaya itakufa njaa. Hakuna nchi nyingine duniani zenye uwezo wa kuipa hizo pesa wanazopata huko. Mauzo ya China Marekani/ulaya/G7 ni zaidi ya theluthi na huko wanauza zile bidhaa za daraja la kwanza.
 
Soko kubwa la China lipò USA na Europe, usitegemee kumuona mtu yyte wa ulaya akanunua bidhaa za China ikiwa **** China ataendelea na policy zake za kuinyanyasa Taiwan.
Wrong. Soko kubwa la China ni ASEAN ndio inafuata EU inakuja U.S.A yanafuata pia mataifa mengine ya Asia.

Policies gani za China zinainyanyasa Taiwan ?
 
Wrong. Soko kubwa la China ni ASEAN ndio inafuata EU inakuja U.S.A yanafuata pia mataifa mengine ya Asia.

Policies gani za China zinainyanyasa Taiwan ?
Unabishana na ripoti na data zenu wenyewe, mimi hayo maneno sijatunga ni ripoti zenu ndizo zinazosema hivyo...

Sasa tueleweje, which is which? Tukuamini wewe au bodi yenu ya statistics?
 
Unabishana na ripoti na data zenu wenyewe, mimi hayo maneno sijatunga ni ripoti zenu ndizo zinazosema hivyo...

Sasa tueleweje, which is which? Tukuamini wewe au bodi yenu ya statistics?
Nimeuliza kuhusu humanity unanitajia ripoti. I don't understand you
 
Mfumuko wa bei Marekani na Ulaya huwa unasabaishwa na bei za mafuta na sera za kifedha/benki sio hizo bidhaa za mchina.
 
Policies za west is all about humanity. Since when ?
Policy za west zimekuwa zikilinda haki za binadamu kwa muda wote mpaka hivi sasa,

Ndio maana jambo kama lilitokea Tienanman square hauwezi kuliona popote pale kwenye nchi za magharibi na ndio maana China kwa nguvu kubwa imejaribu kuuficha huu uchafu kwa kuhakikisha mtu yoyote hapati detail yoyote inayohusu Tienanman square na si ajabu na ww hapa ukakataa kwamba yale mauaji hayakutokea
 
Policy zimekuwa zikilinda haki za binadamu kwa muda wote mpaka hivi sasa,

Ndio maana jambo kama lilitokea Tienanman square hauwezi kuliona popote pale kwenye nchi za magharibi
Nimekuuliza toka lini mpaka sasa hujatoa ufafanuzi wa swali hilo nikuelewe vipi ?
 
Nilikuwa naangalia ...mchambuzi mmoja anasema future techology china anazicontrol sio green energy,sio battery,sio manufacturing,sio trains na vingone vingi
"Mchambuzi" alisema "ku control" ina maanisha nini??
 
Hij Huijui China wewe
 
Nimekuuliza since toka lini mpaka sasa hujatoa ufafanuzi wa swali hilo nikuelewe vipi ?
Mara zote, USA imekuwa ikisisitiza free trade, diversity economy, respect of human rights n.k

Since ilipoundwa United Nations Nia ilikuwa kuyaleta mataifa pamoja na kuweka sheria za kimataifa ambazo pia mojawapo ni kulinda haki za binadamu ambazo China imekuwa pia ikizivunja

Mara zote China imekuwa ikihojiwa kuhusu waisilamu wa Urygur, mauaji ya Tienanman square na sasa mnataka kuivuruga Taiwan,,,,, hell no, hakuna mtu atakubaliana na hili,!! vyote hivi ni ukiukwaji wa haki za binadamu
 
China inatakiwa iwashukuru sana Wamarekani kwa jinsi vyuo vyao vya MIT, Stanford, Havard n.k walivyowasomeshea wanasayansi wa Taiwan waliounda makampuni makubwa ya semiconductors kama TSMC. Pia na wizi wa teknolojia za West umewasaidia sana.
 
Kuhusu malalamiko ya viongozi wa kampuni ya Micron ?

Kushuka kwa mapato kwa mwaka ambayo kampuni itapata kutoka China hiyo pia ni hasara kubwa.
Baadhi ya waswahili hilo wala hawalioni!! Masaa yote wanafikiri US is invincible, ie haiwezi kuadhiliwa kiuchumi na wenzao wakipania kuzuia madini wanayo yategemea sana kwenye viwada vyao vya HiTech - mfano earth rare metals na titanium nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…