Beijing: China yaiwekea vikwazo kampuni ya utengenezaji wa chips ya Marekani (Micron)

Hapa umejibu swali.

Toka kuundwa kwa UN 1945. Ok

My Lai massacre huo ulikuwa ulinzi wa haki za binadamu ?
 
Wewe ni mhanga wa propaganda za marekani. Unafikiri china hawawezi kutengeneza chips za aina yoyote wamarekani wanatengebeza? Ulikua wapi wakati ule marekani walitishia kuweka vikwazo kwa app ya adroid kwa simu za huawei kisha wachina wakatoa app yao kwa simu zao tena bora kuliko adroid. Kama wachina wako kwenye technology ya space sawa au kuwazidi wamarekani kwa leo unafikiri nini kitawashinda. Tatizo mnafikiri kama wanavyodhania wamarekani kabila kama sio wazungu au kufundishwa na wazungu hawawezi technology za juu.
 
Chips zinatengenezwa taifa la Taiwan.
China bara wananunua chips kutoka Taiwan.
 
Uongo mtupu. We bakia na dhana potufu kuhusu china. China iko vizuri na future iko kwao.
 
China inatakiwa iwashukuru sana Wamarekani kwa jinsi vyuo vyao vya MIT, Stanford, Havard n.k walivyowasomeshea wanasayansi wa Taiwan waliounda makampuni makubwa ya semiconductors kama TSMC. Pia na wizi wa teknolojia za West umewasaidia sana.
Hiyo elimu walipata bure ?

China ndio ilifanikisha uwepo wa Coins na paper money duniani ambazo mpaka sasa ndizo zinatumika kwenye transactions duniani nao wanapaswa kushukuriwa kila siku au ndivyo mfumo wa dunia ulivyo ?
 
Baadhi ya waswahili hilo wala hawalioni!! Masaa yote wanafikiri US is invincible, ie haiwezi kuadhiliwa kiuchumi na wenzao wakipania kuzuia madini wanayo yategemea sana kwenye viwada vyao vya HiTech - mfano earth rare metals na titanium nk.
China is always patience.

Sun tzu alisisitiza hili toka kale.
 
Hizi ndio akili za mwafrika unawaza kuwa uchina hawezi kutengeneza hizo chip au kuagiza kwengine tofauti na huko marekani
 
Hivi unafikiri mpaka China wapige marufuku wao hawana uwezo wa kutengeneza chips?
 
Chips zinatengenezwa taifa la Taiwan.
China bara wananunua chips kutoka Taiwan.
TSMC iweka zuio la kuiuzia mainland Chips.

Local Chips manufacturing companies ndizo zina supply kwa wingi Chips kwa sasa mainland.

Investment,R&D zinaendelea katika kuzuia hali hii kwa sasa na baadae
 
Wewe haujafuatilia huo mkutano wa G7 vizuri hakuna mahali walisema wataondoa uwekezaji China au wana lengo la kuhatarisha uchumi wa China
 
Asante mkuu bora uwaambie hawa watoto wa juzi
 
Kwa maana iyo watakao kosa kazi si ni wachina wenyewe.
 
Hii vita ya chips ni noma! Ila ninini kinacho sababisha nchi kama china mpaka leo kushindwa kuunda chips zake!!? Kuna india na korea, wanashindwa nini kuunda hivi vitu!!?
 
Washington imesema hatua ilizo chukua China sio nzuri hazikubaliki.

Licha ya kuwa haya ni matokeo ya utaratibu usio faa ulio anzishwa na serikali ya U.S na washirika wake
Marekani ana economic sanctions
China ana economic coercion (punishment)

Mchina akitumia economic coercion wao West hasa Marekani wanalalamika kuwa ni kinyume na international trade laws na kuwa wanaharibu global chain supply.

Lakini Marekani akitumia economic sanctions ni sawa na anataka aungwe mkono na mataifa mengine 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…