Beijing: China yaiwekea vikwazo kampuni ya utengenezaji wa chips ya Marekani (Micron)

China inatakiwa iwashukuru sana Wamarekani kwa jinsi vyuo vyao vya MIT, Stanford, Havard n.k walivyowasomeshea wanasayansi wa Taiwan waliounda makampuni makubwa ya semiconductors kama TSMC. Pia na wizi wa teknolojia za West umewasaidia sana.
Ivi izi akili mnazitoa wapi jmn basi naye marekani aishukuru ulaya kwa kuwafikisha pale walipo maana kuanzia teknolojia,elimu, mifumo ya kiutawala , mitaji vyote alivitoa ulaya? Hawakusoma bure walilipia ada ndyo wakasoma
 

Mbona Russia anainyanyasa Ukraine na bado wanatumia energy ya Mrussi? Na wewe unaona China anainyanyasa Taiwan au West wanaleta uchokozi kwa China??

Tunarudi kwenye Economics kwanini soko la bishaa za China kwenye hizo nchi ulizotaja?? Sababu demand ya bidhaa za Mchina ni kubwa ndomana unaona Importation ya bidhaa za China ni kubwa, why??

Mchina anatengeneza bidhaa ambayo ni same quality and quantity na company zao ila yeye ana produce kwa low cost akiweka sokoni anauza kwa cheap price. Ndomana Makampuni yao yote makubwa yako China, from nowhere unasema uyatoe china unafikir watakuelewa?

Volkswagen wameomba kurudi Russia kuendelea na production ya magari pamoja na kampuni zingine kubwa kwanini?? Si walitoka why wameomba kurudi? Sababu ni low production cost even China production cost ziko chini.

Ukiangalia hapo stats unaona kwamba hao ndugu zako wana Import zaidi kutoka China sasa leo hii waweke vikwazo unafikir nani ataathirika zaidi??. Mfano mzuri tunaona kwa Russia wameweka vikwazo vyao kwa mihemuko ila wamefanikiwa?? sasa unataka kuongeza na China juu,

China kashatengeneza Masoko Worldwide na tumshukuru sana Mchina tunapata products kwa cheap bila Mchina sidhani hata wewe ungekua una miliki smartphone. Hapo unakuta kabati lako nguo zako zote made in China, Tv yako Made in China.

Ndani ya miaka 10 ijayo habari itakua ni Asia na sio Europe tena, uchumi wa Asia utabiriwa kuipiku Europe. Na hivi ambavyo wamepoteana kwa Russia tu wanakazi sana ya kurudi kwenye level zao, dollar tu ni shida kwenye mabank kwa sasa, watu mpaka wanataka kuapprove debt ceiling. Kumbuka ni Russia tu anawatoa jasho tu, mziki aa China utakuaje??

Economics haipo hivo kama unavyofikiria hizo ni siasa za mdomoni tu, chuki za west dhidi ya China wanaumia sana kuona China anapaa.
 

UN ni kichaka cha US kupitisha agenda zake, niambie mpaka sasa UN imesadia nini mgogoro wa Russia-Ukraine? nakama human rights ni how many times US na washirika zake wameviolate human rights???

Napia nitajie ni human rights zipi ambazo China kazivunja??
 
Ivi izi akili mnazitoa wapi jmn basi naye marekani aishukuru ulaya kwa kuwafikisha pale walipo maana kuanzia teknolojia,elimu, mifumo ya kiutawala , mitaji vyote alivitoa ulaya? Hawakusoma bure walilipia ada ndyo wakasoma

Watoto wa US hao hawawezi kukuelewa brainwashed
 
China bingwa wa intellectual property theft.... hahahaha
Semiconductors zimamtoa udende Xi kuivamia Taiwan. Sasa tumejua

Ila decoupling inaiathiri sana China kiuchumi na makampuni kibao makubwa yanasogea Cambodia, Vietnam, Thailand na India
 
Sawa! Ila bado sijaona sababu ya haya mataifa mengine kushindwa kumiliki hiyo technology labda kuna term and condition au copywrite au vyovyote ila kwa sababu hizi nyepesi bado hawashindwi kununua hiyo yechnology
 
Mi di nikajua kiepe aloo
 
Ahaa! Kwa sura hii naweza nikaelewa mkuu! Hapa ndipo nilikua na miss
 
Reactions: TPP
Simu ipi ya China isiyokuwa na android ni nzuri kuliko simu zenye android ?

Vichwa vyeny vimejaa kamasi. Hebu Taja hiyo simu.


Huawei tangu apigwe ban hata hatujui kaishia wapi
 
Policies za west is all about humanity, kujali utu kwanza kabla ya vitu.
Mkuu kiasi nilianza kukuamini unachokiangea hadi nilipofika kwenye sentence hapa.
Anachokifanya USA pamoja na mashoga zake Europe kwenye mankind ni porojo tu ila anakusudia kulinda mustakabali wake zaidi kuliko huo utu. Tuache kusikiliza BBC na CNN maana zinatu brainwash.
 
Moja ya Hatua zilizochukuliwa na Marekani katka kulinda haki za binadamu ni pamoja na kuban bidhaa zote zinazotokea China kuingia US zinazohisiwa kuzalishwa kwa forced labour haswa kwa waislamu wa Urygur wanaosmeekana wamewekwa kwenye makempu Xinjiang na kufanyishwa kazi kwa lazima.
 
Acha porojo na hadithi za vijiweni,

Marekani na Canada wanayo gesi na mafuta yao ya kutosha.
Japan inachukua gas yake kutoka Australia.
China inachukua gas nyingi zaidi kutoka Australia.
LGBTQ sijui mnatumia nini kufikiria.

USA ingawa ana mafuta na gas lakini ni muagizaji mkubwa wa hizo bidhaa. Matumizi yanazidi uzalishaji wake na ndio maana ana import sana.

Na ndio maana OPEC+ wakipandisha bei ya mafuta inakuwa inamuumiza, kwa sababu ni muagizaji mkubwa.

Japan ana mradi wa gas na Russia. "The Sakhalin 2".
 
We mzee tofauti ya Semiconductor na chips ni nini? Umepitia walau physics ya Form VI?

1. Silicon (Si)
2. Germanium (Ge)
3. Gallium (Ga)
4. Arsenic (As)
5. Indium (In)
6. Phosphorus (P)
7. Antimony (Sb)
8. Boron (B)
9. Tellurium (Te)
10. Selenium (Se)
 
Ubora wa hizo chips unapimwa na nani?
 
Reactions: TPP
Mbona Kizzy Wizzy amekujibu na kujenga hoja zake vizuri na kwa utaratibu! Kulikua na ulazima gani kum attack? Na bado ameendelea kukujibu wisely, unajisikiaje?
 
Simu ipi ya China isiyokuwa na android ni nzuri kuliko simu zenye android ?

Vichwa vyeny vimejaa kamasi. Hebu Taja hiyo simu.


Huawei tangu apigwe ban hata hatujui kaishia wapi
Wewe ni mshamba kutoka Lituhi hebu ondoa ushamba wakk hapa.
Huawei anapambana na Sisco. Network zote mnazotumia mitandao yote ya simu hapa Tz ni HUAWEI.
Ukumbuka 5G issue? Basi kaa ujirambe.

 
Wanahamisha production kutoka China to whereelse and this time in their backyard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…