Beijing: China yaiwekea vikwazo kampuni ya utengenezaji wa chips ya Marekani (Micron)



Kwa hiyo Mchina wa Tandahimba unajua risky za wachina kuliko wao.
 
Mbona Kizzy Wizzy amekujibu na kujenga hoja zake vizuri na kwa utaratibu! Kulikua na ulazima gani kum attack? Na bado ameendelea kukujibu wisely, unajisikiaje?
Huyu hana capability ya ku handle stress, mazungumzo na mitazamo tofauti, pia anatia wasiwasi hata elmu na ufahamu wake.
 
Wanahamisha production kutoka China to whereelse and this time in their backyard
Wajasiliamali wengi wanaitazama sana India, Mexico, Vietnam na pia Thailand, mbona hadi wafanyabiashara hapaa bongo wengi wanafata nguo na mizigo mingine thailand....
 
Law of physics ni zile zile tu. Au mwenzetu upo na new Laws.
Unajua electromagnetic?
Unajua Diodes?
Hahha ndugu mimi najua mpaka kuziprogram microcontrollers, achiliambali diodes unazozisoma ukiwa form one

Najua kudesign electronics project, najua kutumia software za electronics kama proteus, multism, eagle CAD najua kuandaa PCB circuit board najua kufanya troubleshoot na kurekebisha fault after kufanya testing ya PCB board.

Hapa electronics imelala sio digital wala analogue
 
hizo factors ulizo mention kama zitawaumiza kiuchumi ndio siri ya mafanikio hapo ilipofika
 
Wajasiliamali wengi wanaitazama sana India, Mexico, Vietnam na pia Thailand, mbona hadi wafanyabiashara hapaa bongo wengi wanafata nguo na mizigo mingine thailand....
Kuna mtu niliwahi kumwambia humu kwamba China wanajisahau kuwa watu walim boost kwa kuhamishia production nchini mwake na hata sasa wanaweza kuihamishia kwingine na wakamuacha anahangaika. Jamaa alinijua juu kwa kunikashifu kuwa nnatia aibu, sina nijualo
 

Top 5 Countries That Produce the Most Semiconductors:​

  1. Taiwan
  2. South Korea
  3. Japan
  4. United States
  5. China
Unapokuwa unataja hizo top whatever, be remunded that kote huko kyna uwekezaji mkubwa sana wa US, pia wanapata support kubwa sana kutoka kwake including China.
Kuna wakati unatakiwa kuwa makini sana unaposhindanisha US Vs China.
Kwani pasipokujua unaweza ukajikuta unashindanisha US Vs US
 
Kwa nini walienda kuwekeza China na sio kwao au mataifa mengine? Ukipata jibu njoo tudiscuss sasa kwa fact
 
SI KWELI
 
Hivi unafikiri mpaka China wapige marufuku wao hawana uwezo wa kutengeneza chips?
Bingwa wa kutengeneza hizo chips na micro ni Taiwan ndio walio na technologia yaa maana sio China, na kwa sababu hiyo ndio maana China wanawaonea wivu, yeye kupiga marufuku haina impact yoyote kwa US as long as zipo nchi bingwa duniani kama Taiwan zinazalisha na ndio DNA yao., ni vile China hajielewi tu
 
Inamaana wanapiga ban bila ya kujua mbadala wa hiyo ban?
Basi watakuwa wana akili kama za Kiafrika.
US ana uwezo wa kutohitaji kitu chochote kutoka Asia ama kuwaekea vikwazo nchi zote za Asia na akapeta kwenye uchumi wake na maisha yake sio hao china waliopewa technologia na hao hao US., China kujaribu kueka kikwazo kwa US ni kama kujitekenya mwenyeo tu
 
China bingwa wa intellectual property theft.... hahahaha
Semiconductors zimamtoa udende Xi kuivamia Taiwan. Sasa tumejua

Ila decoupling inaiathiri sana China kiuchumi na makampuni kibao makubwa yanasogea Cambodia, Vietnam, Thailand na India
Unaona semiconductors ndilo jambo ambalo China wana tafuta huko Taiwan? Una safari ndefu kuelewa suala la China na Taiwan.

China ipo kwenye development ya semiconductors zake suala la Taiwan halina mahusiano na semiconductors.
 
Simu ipi ya China isiyokuwa na android ni nzuri kuliko simu zenye android ?

Vichwa vyeny vimejaa kamasi. Hebu Taja hiyo simu.


Huawei tangu apigwe ban hata hatujui kaishia wapi
Huawei bado ni mtengenezaji wa simu asilimia kubwa kwa soko la ndani na sasa amekuja na toleo jipya pia ameweza kutengeneza vifaa vyake ambayo mwanzo alikuwa akiagiza nje vilivyo wekewa zuio kutumika katika matoleo yake ya simu janja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…