Beijing: China yaiwekea vikwazo kampuni ya utengenezaji wa chips ya Marekani (Micron)

Beijing: China yaiwekea vikwazo kampuni ya utengenezaji wa chips ya Marekani (Micron)

Kuweka vikwazo kwa chips za Marekani is good for nothing sana sana watakaoumia ni wao wenyenyew china kukosa huduma kwa watu wao tokea vile wao wanashindwa kuzalisha, Taiwan ndo washakukoroga kwisha habari yao wataendelea kutengeneza baiskeli na vyerahani vya kushonea nguo

Kwa hiyo Mchina wa Tandahimba unajua risky za wachina kuliko wao.
 
Mbona Kizzy Wizzy amekujibu na kujenga hoja zake vizuri na kwa utaratibu! Kulikua na ulazima gani kum attack? Na bado ameendelea kukujibu wisely, unajisikiaje?
Huyu hana capability ya ku handle stress, mazungumzo na mitazamo tofauti, pia anatia wasiwasi hata elmu na ufahamu wake.
 
Wanahamisha production kutoka China to whereelse and this time in their backyard
Wajasiliamali wengi wanaitazama sana India, Mexico, Vietnam na pia Thailand, mbona hadi wafanyabiashara hapaa bongo wengi wanafata nguo na mizigo mingine thailand....
 
Wajasiliamali wengi wanaitazama sana India, Mexico, Vietnam na pia Thailand, mbona hadi wafanyabiashara hapaa bongo wengi wanafata nguo na mizigo mingine thailand....
Screenshot_20230524-074733.png
 
Law of physics ni zile zile tu. Au mwenzetu upo na new Laws.
Unajua electromagnetic?
Unajua Diodes?
Hahha ndugu mimi najua mpaka kuziprogram microcontrollers, achiliambali diodes unazozisoma ukiwa form one

Najua kudesign electronics project, najua kutumia software za electronics kama proteus, multism, eagle CAD najua kuandaa PCB circuit board najua kufanya troubleshoot na kurekebisha fault after kufanya testing ya PCB board.

Hapa electronics imelala sio digital wala analogue
 
Mkutano wa G7 uliweka bayana agenda ya kupunguza kuitegemea China kiuchumi haswa kwenye upande wa uwekezaji wa viwandani hii inatokana na China kuzidi kuwa mkorofi kwakuwa anaona uchumi wake unakuwa zaidi.

Haya ndio majibu ya Beijin baada ya ule mkutano wa G7, matokeo ya ule mkutano yataleta maumivu makubwa sana China.

Nchi zote zilizoshiriki ule mkutano pamoja na washirika wengine watapunguza kama sio kuondoa uwekezaji wao China.

Xi anazidi kuwaponza wachina, mvutano wa kichumi mikwaruzano na mataifa jirani, sera mbaya za mambo ya nje zitawaumiza sana wachina wengi.
hizo factors ulizo mention kama zitawaumiza kiuchumi ndio siri ya mafanikio hapo ilipofika
 
Wajasiliamali wengi wanaitazama sana India, Mexico, Vietnam na pia Thailand, mbona hadi wafanyabiashara hapaa bongo wengi wanafata nguo na mizigo mingine thailand....
Kuna mtu niliwahi kumwambia humu kwamba China wanajisahau kuwa watu walim boost kwa kuhamishia production nchini mwake na hata sasa wanaweza kuihamishia kwingine na wakamuacha anahangaika. Jamaa alinijua juu kwa kunikashifu kuwa nnatia aibu, sina nijualo
 
Top 5 Countries That Produce the Most Semiconductors:​

  1. Taiwan
  2. South Korea
  3. Japan
  4. United States
  5. China
Unapokuwa unataja hizo top whatever, be remunded that kote huko kyna uwekezaji mkubwa sana wa US, pia wanapata support kubwa sana kutoka kwake including China.
Kuna wakati unatakiwa kuwa makini sana unaposhindanisha US Vs China.
Kwani pasipokujua unaweza ukajikuta unashindanisha US Vs US
 
Kuna mtu niliwahi kumwambia humu kwamba China wanajisahau kuwa watu walim boost kwa kuhamishia production nchini mwake na hata sasa wanaweza kuihamishia kwingine na wakamuacha anahangaika. Jamaa alinijua juu kwa kunikashifu kuwa nnatia aibu, sina nijualo
Kwa nini walienda kuwekeza China na sio kwao au mataifa mengine? Ukipata jibu njoo tudiscuss sasa kwa fact
 
Unapokuwa unataja hizo top whatever, be remunded that kote huko kyna uwekezaji mkubwa sana wa US, pia wanapata support kubwa sana kutoka kwake including China.
Kuna wakati unatakiwa kuwa makini sana unaposhindanisha US Vs China.
Kwani pasipokujua unaweza ukajikuta unashindanisha US Vs US
SI KWELI
 
Hivi unafikiri mpaka China wapige marufuku wao hawana uwezo wa kutengeneza chips?
Bingwa wa kutengeneza hizo chips na micro ni Taiwan ndio walio na technologia yaa maana sio China, na kwa sababu hiyo ndio maana China wanawaonea wivu, yeye kupiga marufuku haina impact yoyote kwa US as long as zipo nchi bingwa duniani kama Taiwan zinazalisha na ndio DNA yao., ni vile China hajielewi tu
 
Inamaana wanapiga ban bila ya kujua mbadala wa hiyo ban?
Basi watakuwa wana akili kama za Kiafrika.
US ana uwezo wa kutohitaji kitu chochote kutoka Asia ama kuwaekea vikwazo nchi zote za Asia na akapeta kwenye uchumi wake na maisha yake sio hao china waliopewa technologia na hao hao US., China kujaribu kueka kikwazo kwa US ni kama kujitekenya mwenyeo tu
 
China bingwa wa intellectual property theft.... hahahaha
Semiconductors zimamtoa udende Xi kuivamia Taiwan. Sasa tumejua

Ila decoupling inaiathiri sana China kiuchumi na makampuni kibao makubwa yanasogea Cambodia, Vietnam, Thailand na India
Unaona semiconductors ndilo jambo ambalo China wana tafuta huko Taiwan? Una safari ndefu kuelewa suala la China na Taiwan.

China ipo kwenye development ya semiconductors zake suala la Taiwan halina mahusiano na semiconductors.
 
Simu ipi ya China isiyokuwa na android ni nzuri kuliko simu zenye android ?

Vichwa vyeny vimejaa kamasi. Hebu Taja hiyo simu.

Huawei tangu apigwe ban hata hatujui kaishia wapi
Huawei bado ni mtengenezaji wa simu asilimia kubwa kwa soko la ndani na sasa amekuja na toleo jipya pia ameweza kutengeneza vifaa vyake ambayo mwanzo alikuwa akiagiza nje vilivyo wekewa zuio kutumika katika matoleo yake ya simu janja
 
Back
Top Bottom