Timu yako ya Simba ndio timu pekee iliyofungwa ndani nje katika hatua ya robo fainali tena ndio mnaongoza kwa kufungwa magoli mengi. Unaacha kujadili habari yako unatafuta faraja kwa matokeo ya mechi ya Yanga.Yes, kama walivyofunga Al Ahly na walivyokataliwa moja wakafunga mengne mawili hivyo wakapita bila wasiwasi sio timu mechi nzima inapiga shuti moja tu golini refa anakataa sio goli mnabaki mnalialia kila sehemu tumedhulumiwa
Mnafika kwenye matuta mnapiga piga tu kama wachezaji wa daraja la kwanza mnatolewa mnalia na refa sasa mlitaka refa awapigie penalty
MFatilie al ahly kwa makiniTimu yako ya Simba ndio timu pekee iliyofungwa ndani nje katika hatua ya robo fainali tena ndio mnaongoza kwa kufungwa magoli mengi. Unaacha kujadili habari yako unatafuta faraja kwa matokeo ya mechi ya Yanga.
Wanasema ki kanuni sio goal sababu hata ulaya unaona kabisa goal lakini ikija VAR wakichora unakuwa sio 100% mpira kuvuka kwa hili kisheria sio goal lakini anasema ikiwa kama yeye kanuni zingebadilika hili goal lingekubaliwa.Waelewa lakini kiarabu weye?
Kwa tarehe 20 apangwe asipangwe?Km penalt alishindwa, ndo aweze kufunga vilee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani angeenda kuangalia ba kuja majibu yale yale ingekuwajeMimi namlaumu captain wetu
Alizubaa sana alitakiwa kumshinikiza refa akaangalie marudio ya goli kwenye var
Ila kazubaa
Wangekuwa waarabu pangechimbika
Mbona hatuzungumzii penalt tulinyimwa goli sawa lakini tulipewa tena nafac ya kupiga penalt je tulifanya nini kwa maoni yangu 2jipange kipindi kijachoKwanza lugha uelewi kinachosemwa halafu jambo la pili ni kwamba kwa kivuli kilichowekwa, mpira umeonekana upo nje ya kivuli kwa maana umezidi kwa asilimia 100
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wametolewaaaaaNna amani Sana Sana Tena Sana...wangepita hawa jamaa sijui ingekuwaje aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hata mkitaka acheze pekee yake, wala sisi sio shda zetu, poleeeee wee.Kwa tarehe 20 apangwe asipangwe?
Lile ni goli hata warukeruke hukoHatimaye, kituo cha bein Sport kimetoa ufafanuzi na ushahidi kuwa goli la azizi ki halikuwa goli halali kwakuwa mpira haukuvuka wote kwa asilimia 100 kama kanuni zinavyotaka.
Video imeambatanisha.
NB: mjumbe hatukanwi jamani maana raia Wana jazba hatari
Kwahiyo ukifungwa nje ndani inakuwa na tofauti gani na wewe uliyekufa kiume Pretoria.?Timu yako ya Simba ndio timu pekee iliyofungwa ndani nje katika hatua ya robo fainali tena ndio mnaongoza kwa kufungwa magoli mengi. Unaacha kujadili habari yako unatafuta faraja kwa matokeo ya mechi ya Yanga.
Sawa goli hakuna na kona je?Hatimaye, kituo cha bein Sport kimetoa ufafanuzi na ushahidi kuwa goli la azizi ki halikuwa goli halali kwakuwa mpira haukuvuka wote kwa asilimia 100 kama kanuni zinavyotaka.
Video imeambatanisha.
NB: mjumbe hatukanwi jamani maana raia Wana jazba hatari
We kweli utopolo. Sasa kipindi hicho hiyo nyingine inaishia robo fainal 4 hujui kama uto ilikuwa inaishia hatua za awali? Au unafikiri uto imeanzishwa juzi? Au nyinyi uto huko kwenu timu kubwa ni kuishia hatua za awali mara nyingi.UJunga tu ... Au hujui kila taasisi lazima iwe na media inayoweza kuclear upepo mbaya?. Alafu kuanzia Leo yanga hatutaki kushinda na timu ambayo unaugua unyavuzi... Timu imeshiriki zaidi ya Mara 4 robo fainal haina la maana. Mkiambiwa yanga ni kubwa muwe mnaelewa ...
Hujui wanachokisema, peleka kwenye English utaelewa, kasema utata upo ila kwa mtazamo wake ni goliHatimaye, kituo cha bein Sport kimetoa ufafanuzi na ushahidi kuwa goli la Azizi Ki halikuwa goli halali kwakuwa mpira haukuvuka wote kwa asilimia 100 kama kanuni zinavyotaka.
Video imeambatanisha.
NB: mjumbe hatukanwi jamani maana raia Wana jazba hatari