Believe it or Believe it not: September 11, 2011 Twin tower were hit by Military Plane


ukiangalia kwa juu juu utadhani ni matokeo ya vurugu na hio arab spring lakini ukweli Ghadafi na libya kama sio wao wasingeondoka...ni nchi moja tu ambayo vurugu zilikua za wana nchi lakini nazo hazikuzaa matunda au malengo ya kuwa na democracia hayakupatikana kutoka na jeshi kla nchi hizo kuingilia.....
Tunisia jeshi ambalo lina vibaraka wa CIA limeshika hatamu
Misri pia
Syria ni vurugu kutoka kwa wahhuni wanaolipwa na CIA
NADHANI UNGEREJEA HISTORIA YA KUMWEKA SHAH WA IRAN ...ambaye aliondoshwa kwa mpainduzi ya wa iran na baadae akarejeshwa tena na marekani kwa kushirikiana na CIA. hawa jamaa wana watu wao ndani ya nchi zote...wakiambiwa fanya fujo wanafanya kwani wapo na mishahara minono....so hali ndo hiyo
 
Sifahamu, ila niliwahi ona article moja siku za nyuma sana inaongelea kwamba Muslim Brotherhood ndio watakao tumika katika nchi za kiislam kuimplement the so called New World Order... Unajua lolote juu ya hili mkuu unifahamishe?
muslim brotherhood ni tool tu inayotumika na west katika ku destablise middle east ili hizo nchi ziendelea kuwa weak ili itakapofika mda wa kutakeover iwe rahisi kwao.

Kumbuka Divide and rule technics.
Na si lazima member wote wajue huo ukweli,wanaojua wanakuwa ni wale mabosi wachache.
 
Marekani naona wanataka kweli kuitawala dunia kwa njia yoyote ile...na ndio wameshaweza hivyo japo bado China ni tishio kwao
 
Video zilizowekwa kwenye thread hii ni fake.
Angaliaeni jinsi gani mmedanganywa na video za 'kutengenezwa'...
Link hii hapa ya kuwafungua macho jinsi mlivyodanganywa na video za 'kutengenezwa'..

MZIMU umedanganywa..!!!

Flight 175 rare video) - YouTube
 
Last edited by a moderator:
/
Mu-israel, you are right. Na hili jambo ndilo nilotusumbua. Kwenye hii video wanasema, 9/11 was a fake. Sasa kwanini wamedanganya dunia???

 
Last edited by a moderator:
JazzakAllah Kheir Dada yetu AL-Sheikha Fify Kwa Heshima na Taadhima na kwa kila la Ukarimu wenye neema za MwenyeEzzi Mungu Moula Al-Raheem ...Ukubalike kwa machache yako ambayo yana utukufu wa " Neema al-Moula wa Neema Al-nasir "... Hakika umetoa 3elmu nduchu tu " Nina amini ungelikuwa na Wasaa ungelituwacha midomo wazi na kuwa Paralyized na wengi wao hawayafahamu ( wakatheeran Laa ya3lamun ) Naomba Tawfiq kwa juhudi zako 24/7 zitufae na kutuongoza kwanye njia iliyonyoka ( SwiRatta al-Mustaqeem).AMIN
Ahsante.
 

Machozi yamenitiririka niliposoma hizo beti zako adhyim. Amin Ya Raab Amin. InshaAllah kwa sote tuwe katika njia iliyonyooka.
 
Machozi yamenitiririka niliposoma hizo beti zako adhyim. Amin Ya Raab Amin. InshaAllah kwa sote tuwe katika njia iliyonyooka.
Wajua Mpendwa kuwa tone moja la chozi likikutoka kwa Ajili ya kudefend Dini ya Allah ... Jazaa yake ni kufuzu yom alQiyama na kuteuliwa wewe kuchaguwa kupita mlango wowote huko Peponi! In-ShaAllah min-al-Faizina..AMIN
 
Wes penre amejaribu kuweka wazi ukweli wa tukio la 'september 11' na mengine kama hayo,ni bora tuiwe wavivu kupitia tovuti hii....'www.forbiddenknowledge.com'..ina mambo mengi na mazuri pia kuhusu 'new world ordel'
 

..........ukijiingiza 'ushirika na Myahudi'.........basi tegemea kuendekeza vitendo vya dhulma na ukandamizaji !:shocked:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…