Kiutu uzima ilikuwa aje hapa ubaoni angalau alisemee hiliNmepitia huu uzi mwazo mpaka mwisho. Baada ya comment ya GENTAMYCINE nilitegemea kuja kuona comment yake ya pili aidha akileta ushahidi wa kumuumbua @bensaanane au akiomba samahani na kurekebisha kauli yake. Mpaka sasa yupo kimya.
Vip.mkuuHivi Ben weee umeandika lipi lenye negative impacts kwa serikali ya Magu?
I think unatafuta umaarufu ambao ni cheap.
NI MIAKA SASA.je bado anatafuta KIKI???Hivi Ben weee umeandika lipi lenye negative impacts kwa serikali ya Magu?
I think unatafuta umaarufu ambao ni cheap.
Na hatimaye limetimia ni miaka sasa.ndug ben HAYUPOSi uwasiline na muuaji mkuu kuna no yake pale. Usipinge tu moja kwa moja. Lisemwalo lipo mkuu
ulishindwa kuishi I'd yako badala yake ukawa mpumbavu kwanzaBen Sanane aboreshe mbinu za kujitangaza, hii style ya kujidaia anatafutwa ni ya zamani sana na ya kipuuzi.
Tusiifadhi hizi details kuna kipindi tutaziitaji hata ikipita miaka 50 wahusika watapatikana hata wakiwa na miaka 100 watajibu mashtaka hiyo inakujaMmmmmmhhhh. Hatareeee.
Pole mkuu. Mungu atawaumbua tu miungu watu hawa siku moja.
Usirudi nyuma.
Rest in peace mkuu Saa nane, ulionywa Hukusikia.
Watajibu historia lknNinachowapendeaga hawa jamaa, ni kama waganga wa kienyeji wabobexi, hawakuonei, wanakuonya, tena si mara moja, ukichagua likes na followers, unajikuta siku moja upo kwenye mdomo wa chatu man alone! RIP Ben
Ninachowapendeaga hawa jamaa, ni kama waganga wa kienyeji wabobexi, hawakuonei, wanakuonya, tena si mara moja, ukichagua likes na followers, unajikuta siku moja upo kwenye mdomo wa chatu man alone! RIP Ben
Tusiifadhi hizi details kuna kipindi tutaziitaji hata ikipita miaka 50 wahusika watapatikana hata wakiwa na miaka 100 watajibu mashtaka hiyo inakuja
Huyu ben saa nane muongo kama viongozi wake wanataka kuanza kama enzi za akina zitto akiwa chadema yeye mwenyewe ben walikuwa wanajiteka halafu wanasema wametekwa.
Pumbavu zao eti narudi kuunga mkono juhudi! Juhudi gani za utekaji na mauaji?!Alphonce Mawazo (rip) ameuwawa kinyama na hakuna mtuhumiwa wala uchunguzi wo wote. Ben Sanane ametoweka katika mazingira tatanishi na hakuna mtuhumiwa wala uchunguzi wo wote. Tundu Lissu amemiminiwa risasi kuliko afanywavyo jambazi sugu na hakuna mtuhumiwa wala uchunguzi wo wote. Leo hii libinadamu linaamka asubuhi na kutangaza eti linajivua uanachama na ubunge wa CDM ili kuunga mkono jitihada za sijui nani!!! Nisingekuwa naogopa ban, ningeyatukana matusi ya nguoni.