Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Nmepitia huu uzi mwazo mpaka mwisho. Baada ya comment ya GENTAMYCINE nilitegemea kuja kuona comment yake ya pili aidha akileta ushahidi wa kumuumbua @bensaanane au akiomba samahani na kurekebisha kauli yake. Mpaka sasa yupo kimya.
Kiutu uzima ilikuwa aje hapa ubaoni angalau alisemee hili
 
Hakika narudia kukusoma mara nyingi,sina hakika kama birthday ya miaka 33 uliisherehekea wapi!
Mungu atashughulika na Watesi wako,moja baada ya mwingine
 
Ninachowapendeaga hawa jamaa, ni kama waganga wa kienyeji wabobexi, hawakuonei, wanakuonya, tena si mara moja, ukichagua likes na followers, unajikuta siku moja upo kwenye mdomo wa chatu man alone! RIP Ben
Watajibu historia lkn
 
Google inatunza history, wahusika wajiandae tu
Tusiifadhi hizi details kuna kipindi tutaziitaji hata ikipita miaka 50 wahusika watapatikana hata wakiwa na miaka 100 watajibu mashtaka hiyo inakuja
 
Unamaanisha kajiteka?
Huyu ben saa nane muongo kama viongozi wake wanataka kuanza kama enzi za akina zitto akiwa chadema yeye mwenyewe ben walikuwa wanajiteka halafu wanasema wametekwa.
 
Alphonce Mawazo (rip) ameuwawa kinyama na hakuna mtuhumiwa wala uchunguzi wo wote. Ben Sanane ametoweka katika mazingira tatanishi na hakuna mtuhumiwa wala uchunguzi wo wote. Tundu Lissu amemiminiwa risasi kuliko afanywavyo jambazi sugu na hakuna mtuhumiwa wala uchunguzi wo wote. Leo hii libinadamu linaamka asubuhi na kutangaza eti linajivua uanachama na ubunge wa CDM ili kuunga mkono jitihada za sijui nani!!! Nisingekuwa naogopa ban, ningeyatukana matusi ya nguoni.
Pumbavu zao eti narudi kuunga mkono juhudi! Juhudi gani za utekaji na mauaji?!
 
Back
Top Bottom