Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

CCM na makaburu hawana tofauti yoyote.
 
Naamini aliekutanguliza naye kaja Ben, alidhani ataishi milele kwa nguvu alizokuwa nazo. Kumbe Mungu ni wetu sote na sisi ni viumbe wake. Sasa atapata hukumu yake kwa haki...
 
Wazazi wa Ben Saanane tafuteni kila upenyo ili kumuona Rais Samia na kumuomba suala la mwanenu lifanyiwe uchunguzi na vyombo vya dola ili wahusika walio hai waadhibiwe.

Bila nguvu za wazazi serikali itaendelea kukaa kimya.
 
Hivi una ubongo kweli ww? Au ni kimba lipo kichwani 🤣🤣
 
Alafu kuna watu wanampongeza Makonda, wanamuona ni mtu wa maana kabisa. Jangili lile.
 
Wazazi wa Ben Saanane tafuteni kila upenyo ili kumuona Rais Samia na kumuomba suala la mwanenu lifanyiwe uchunguzi na vyombo vya dola ili wahusika walio hai waadhibiwe.

Bila nguvu za wazazi serikali itaendelea kukaa kimya.
ALLAH ni mjuzi wa kila na hao wazazi wamshitakie yeye.
Hatujui Mwenyezimungu amepanga nini na lini kwa waliotenda mauaji ikifika muda yoote yatakuwa dhahir.
SUBRA NI IBADA NGUMU SAANA
 
Kuna watu hata wafanyeje huu uzi tutaurudia miaka na miaka hawawezi kujisafisha kwa namna yoyote.

Wachache waliomuondoa nao waliondolewa na wengine watafuata.
 
Saivi ungekuwa hai kujifanya una jua kume kuponza .hii nchi usi take kujifanya komandoo kama huna back up
 
Hivi huyu jamaa ndio imeshindikana hata kupatikana mwili wake.

Guys tuwe makini hakuna democracy duniani.

Mtu Kama Putin yule …….. dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…