Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Unaongea na mimi kwani mimi ndio kamanda mkuu wa kikosi cha watekaji?
Wewe si umesema kauwawa mzee hivi unaakili timamu kweli mbona kama hata unachoongea ukijui we si umesema jamaa kauwawainamaana ulikuwepo siku akiuwawa 🤣🤣🤣🤣
 
Wewe si umesema kauwawa mzee hivi unaakili timamu kweli mbona kama hata unachoongea ukijui we si umesema jamaa kauwawainamaana ulikuwepo siku akiuwawa 🤣🤣🤣🤣
Na mimi nakuuliza tena kama Ben hajauwawa yuko wapi sasa mwaka wa 9 unacheka unaona ni jambo jema halafu sisi tukifurahi mwendawazimu wa Chato kufa mnalia lia hapa?
 
Uzuri ni kwamba bado watu wanatekwa na kuuawa, hii inamaanisha kuna system nyuma ya system na labla mmoja hamjui mwenzake.
 
Na mimi nakuuliza tena kama Ben hajauwawa yuko wapi sasa mwaka wa 9 unacheka unaona ni jambo jema halafu sisi tukifurahi mwendawazimu wa Chato kufa mnalia lia hapa?
Sasa mzee unaniuliza Ben saa nane yupo wapi yaani tanzania watu milion 68 zaidi nianze kufuatilia mtu ambae sio ndugu yangu Wala rafiki yangu kwamba yupo wapi hivi unaakili timamu kweli wewe ambaye umesema kauwawa tuonyeshe kaburi lake au umepagawa na maisha magumu mzee, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Basi kama hujui alipo tulia uelewe kuwa alitekwa kwa amri ya dikteta uchwara na kupotezwa.
 
Wewe unaejua Umesema kauwawa naomba ututajie kaburi lake liko wapi mbona unarukaruka mzee 🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi sio mtekaji na muuaji na mimi nakuuliza swali kama mtu hajaonekana miaka 9 je atakuwa yuko wapi?
 
Hivi unaakili timamu kweli wewe si umesema kauwawa aisee kumbe naongea na kizibo🤣🤣🤣🤣🤣
Huna uwezo wa kuhoji kama nina akili timamu kama unashindwa kujibu swali jepesi kama mtu ambaye hajaonekana miaka 9 na bandiko lake la mwisho lilikuwa ni tishio la kuuwawa halafu usijue huyo mtu nini kilimpata.

Unaweza kunipa jibu miaka 8 sasa hadi leo waliomshambulia Lissu kwenye eneo lenye ulinzi wa serikali saa 24 hawakuwahi kupatikana?

Ukishajua hivyo jiulize kwanini footage za CCTV za eneo lile hazijawahi kutolewa popote.
 
Jibu swali kabla hujauliza swali nimekuuliza kaburi lake liko wapi wewe unaniuliza swali kabla hujanijibu ndio maana nikakuambia hivi unaakili timamu kweli 🤣🤣🤣🤣
 
Jibu swali kabla hujauliza swali nimekuuliza kaburi lake liko wapi wewe unaniuliza swali kabla hujanijibu ndio maana nikakuambia hivi unaakili timamu kweli 🤣🤣🤣🤣
Unauliza kaburi la mtu aliyeambiwa atatupwa kwenye chatu?

Unataka mimi nijue kaburi la Ben lilipo watu wanaowawa kwa order za serikali wangapi hatujawahi kujua makaburi yao yalipo?

Hapo hakuna logic yoyote kwenye swali lako , Ben aliuwawa na kuhusu kaburi tuwaulize watekaji kina Tumainiel
 
Alianza kama Masihara
 
Muulize huyu atawaeleza Ben walimzika wapi miezi 2 baada ya hili onyo alilotoa huyu mimi ukiniuliza wakati sikuwa kwenye kundi hilo la watekaji na wauaji unakuwa haupo sahihi

Ni mtu mjinga pekee ataamini Ben yuko hai ilhali mwaka wa 9 sasa hajaonekana na hili bandiko aliambiwa atauwawa kwa namna gani.
 
Hapa ndipo huwa naona JPM alikuwa na roho ya unyama.
Angemuacha hata hakuwa na madhara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…