Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ambacho nimewahi kujifunza ktk umri wangu ni kwamba, UKATILI huwa watu wanafundishwa. Hakuna ambaye anazaliwa nao. Watu hujifunza kupitia kuona, kushiriki, au kufanyiwa mabaya kwa wapendwa wao au wao wenyewe ndipo watu huanza kuwa wakatili au waasi.

Matukio kama haya yanaweza kuleta mambo mabaya sana na kuvuruga amani ya Nchi husika.

Mungu tusaidie
 

Watesi watapukutika mmoja baada ya mwingine kuanzia distance relatives mpaka wao wenyewe, kizazi na kizazi, generation kama tano zijazo!Mungu hana haraka, hutenda kwa wakati wake! amini usiamini, pepo ni hapahapa duniani! Hata ukihamia Antarctic yatakufika tuuuu!ukipata pesa utakuwa huna amani, huli kwa amani, huna raha, kizazi na kizazi! Wakati mwingine ukiona binadamu anakufa kwa kisukari, cancer, figo, kifua kikuu, sleep apnea, Arthritis siyo kuwa ni magonywa ILA NI LAANA(GENERAL CURSE/FAMILY CURSE), fahamu kuwa madaktari hutibu kila aina ya ugonjwa na kama siyo kutokana na LAANA mgonjwa hupona kwani madaktari hutibu, mponyaji ni Mungu(laana Mungu huondoa mkono wake)!!
 
And finally Mkatekeleza mlilolikusudia dhidi yake, So so sad!


Mwanadamu ana roho mbaya zaidi ya Mnyama wa Mwituni aliye na njaa.


Mungu aendelee kumuhifadhi mtoto wake popote alipo.


Hongereni kwa kuwa ninyi mna kibali cha kuishi milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…