API Gravity
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 658
- 765
Huu umaarufu mwingine bwana, mototo wa chekechea anayejua anacho kifanya hawezi kuandika vitisho kama hivyo ambavyo bwana Ben Saanane anataka kutuaminisha. Ni bora ukatafuta njia nyingine ya kujitangaza kuliko hii ya kujitishia maisha mwenyewe.