Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Huu umaarufu mwingine bwana, mototo wa chekechea anayejua anacho kifanya hawezi kuandika vitisho kama hivyo ambavyo bwana Ben Saanane anataka kutuaminisha. Ni bora ukatafuta njia nyingine ya kujitangaza kuliko hii ya kujitishia maisha mwenyewe.
 
Mjeshi akifa...wajeshi wengine wawili huzaliwa....kama ni kuua basi wataua binadamu wote.
 
Kitu kimoja tu cha hakika ni kuwa Damu ikimwagika hasa damu ya kimapinduzi hutoa mvuke utakaonyesha na kutiririsha mafuriko katikati ya mito na vijito vya haki. Kama itanyesha mvua ya Radi basi itaambatana na mwanga na cheche zitakazowamulika walaghai,watesaji,wakandamizaji wa haki.Watetezi wa haki watapata mwanga katikati ya giza tororo la Unyanyasaji,unafiki na ubakaji wa taaluma na dhamiri zao kitaaluma na kiimani
 
Tuache ujinga wa kujiombea mabaya.

Kwanza kama wana JF tumuombea pepo ndugu yetu Ben , kuna wakati mtu unaweka itikadi za kisiasa pembembeni na unautukuza uwanadamu.

Ben ni kijana wetu na amepotea na haijulikani kama yu hai au amefariki, kila ishara inaonyesha kuna wenye nguvu wamehusika kwenye hili.

Mtu unajiuliza hivi kwanini police hawalizungumzii jambo hili, familia yake hawajuuzwi upelelezi umefikia wapi.

Ndugu Ben tunaku9mbea kila la kheri popote ulipo iwe duniani ama akhera
 
Na hatimae chadema wenyewe wamemzimisha ili kutengeneza mazingira ya lawm kwa wengine. Kama alikuwa na wtegemezi masikini ndio basi tena, loooooh. Pole Ben ten saakumi.
 
Said Kubenea alimuona akizunguka Kwenye vijiwe vya kahawa usiku na akaandika Kwenye gazeti lake.
 
Back
Top Bottom