Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Nimefahamiana na mdogo wake anayechiwa ziwa na huyu jamaa kama mwaka sasa,hakika kama kuna mtu/watu wamemfanyia mabaya Ben Saanane na kama kweli Mungu yupo basi kiyama chao kitakuwa hakielezeki!
Kila wakati kila saa anamkumbuka kaka yake,kwenye wallet ana picha yake,profile picture za app karibia zote kwenye simu yake ameweka picha ya kaka yake!Kama yeye ni hivyo je mama yake aliyeteseka labor kwa hatari ya uzazi wa miaka hiyo na baba yake aliyeteseka kumsomesha machozi yao Mungu anayapima kwa kipimo gani?
All in all tuishi kuheshimiana,miaka ya kuivuta hii pumzi hapa duniani ni michache sana kuliko ile ya kule tusikokujua.