Get rich or die try
Member
- May 22, 2021
- 45
- 50
Za sahizi ndugu zanguni... Nina rafiki yangu kamaliza masters ya sheria (LLM) na kaisha pita law school in short ni advocate kwa sasa ana miaka 29 Anahitaji kujiunga na jeshi la polisi either magereza,ffu,Traffic,Police etc
Anahitaji kujua kua akifanikiwa kupita mafunzo na kila kitu na akapangiwa atakua either Police,Traffic, Askar magereza etc Swala la kupanda vyeo lipoje au ataanza na cheo gani
Maana kama nae ata kua anaenda lindo or ataanza na kitengo hvyo yani
Kiufupi anataka ajue atapata benefit gan kama akifanikiwa kwa sasa ni Advocate na ana masters ya sheria. Natanguliza shukran?