Get rich or die try
Member
- May 22, 2021
- 45
- 50
- Thread starter
- #41
Yes atakua hvyoUwe msiri wakijua una masters jeshi humalizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes atakua hvyoUwe msiri wakijua una masters jeshi humalizi
Kama anaipenda hiyo kazi ajiunge kwa Moyo mmoja bila kujali atapangiwa kitengo gani, kituo gani ama Mkoa gani.Za sahizi ndugu zanguni... Nina rafiki yangu kamaliza masters ya sheria (LLM) na kaisha pita law school in short ni advocate kwa sasa ana miaka 29 Anahitaji kujiunga na jeshi la polisi either magereza,ffu,Traffic,Police etc
Anahitaji kujua kua akifanikiwa kupita mafunzo na kila kitu na akapangiwa atakua either Police,Traffic, Askar magereza etc Swala la kupanda vyeo lipoje au ataanza na cheo gani
Maana kama nae ata kua anaenda lindo or ataanza na kitengo hvyo yani
Kiufupi anataka ajue atapata benefit gan kama akifanikiwa kwa sasa ni Advocate na ana masters ya sheria. Natanguliza shukran?
Jeshi la IDF watu wote Wana angalau degree na diploma 🤣.
Huku masters Jeshini ni mtu mkubwa sakwe
so bola jeshi nduguJeshi la IDF watu wote Wana angalau degree na diploma 🤣.
Huku masters Jeshini ni mtu mkubwa sana
Sawa ndugu umeeleweka....Maana sasa kwa watoto wa maskin tena Inabidi upambane mwenyewe unawez tengenez njia kwa kizazi chakoKama anaipenda hiyo kazi ajiunge kwa Moyo mmoja bila kujali atapangiwa kitengo gani, kituo gani ama Mkoa gani.
Pia asiwe na matarajio makubwa sana kichwani maana wasomi wa taaluma hiyo wapo wengi na asije akadhani atakuwa wa pekee kwenye Jeshi.
Kuhusu utakapofanyia kazi iwe kitengo, kituo au Mkoa wa kufanyia kazi atapangiwa kadri itakavyoonekana inafaa na Makao Makuu au Kamanda wa Mkoa husika.
NB:
Aweke matarajio ya kawaida ili akipata makubwa iwe bonus, kuliko kuingia na expectations kubwa halafu akakuta hali ni tofauti na alivyotarajia akavunjika Moyo na kuichukia kazi
Umeeleweka vzrmuhimu, Kuna dogo ni MD anakula lindo kama kawaida, ila matumaini ya kupanda vyeo chap
😂 atalishwa vumbi haswaWewe wape vyeti Kisha upige zako kimya kama sio wewe ndio mwenye vyeti ila ukijidai Kila unayekutana naye unamwambia "Mimi advocate" "Mimi advocate " my friend!!
Unasota vipi ukimaliza kozi CCP tayari ndo ajira, lakini usidanganywe eti ukimaliza tu utavaa nyota, japo mshahara utakaoanza nao(degree holder) almost ni sawa na mwenye nyota.Ndugu mm siwez kuingia pia nashundwa yan..kama unawezekana naomba tuongee PM unipe muongozo kidogo
Si unajua maslah muhimu unawez ukatumbukia halafu unasota tena for 4 years
Barikiwa 🙏🙏Shukran sana
Hahaa ndugu yangu huyo sio mmNi huyu huyu mleta uzi usidhani kuwa kuna mwingine.
Mpigishe jaramba mapema maana anavyoonekana akishakaa ofisini atawaendesha vilivyo. Kiufupi hataki kukaa lindo anataka akivishwa gwanda tu apigiwe saluti.
Oooh hiyo sawa but kama kuanzia 1.5m sio mbaya au ni lessUnasota vipi ukimaliza kozi CCP tayari ndo ajira, lakini usidanganywe eti ukimaliza tu utavaa nyota, japo mshahara utakaoanza nao(degree holder) almost ni sawa na mwenye nyota.
Nitamshauri piaAkiingia jeshini atakula shavu sana...polisi hakuna shavu la kihivyo hasa kada zisizo za afya.
Sawa ndugu..ila wabongo ku share info ni wagumu sana ndiomaana kuuliza kwa watu wengi ni vyemaWabongo kutishana sasa, mtu hatoi jibu kazi kutoa vitisho na kupotea.
Mwambie mshkaji wako ajiunge, atapata marafiki huko huko atawauliza. Logically inamaanisha muda anajiunga kuna watu kawakuta ambao wana elimu kama yake wanasubiri pia.
Mimi sijui kitu kuhusu ajira, ningekujibu
Less🤣Oooh hiyo sawa but kama kuanzia 1.5m sio mbaya au ni less
Sawa nduguKuna vitu wengi wanachanganya hizo FFU, TRAFFIC, RELI, MIFUGO, UPELELEZI n.k ni vitengo tu ndani ya TPF.
Kama yupo tayari kujiunga na majeshi asifikirie sana kuanza na uafisa yeye akomae kuingia ndani ya chombo namba ikipatikana bega litajaa tu inshallah.
Sawa sawaHata kama angekua na PhD utumishi wa umma unaenda kwa ngazi ataanza chini kabisa na atapanda kwa kadiri anavofanya kazi kwa weledi juhudi na maarifa. Hivyo vyeti vitamsaidia mbele ya safari huko.