Benefiti za alie na masters katika jeshi la kujenga taifa
Za sahizi ndugu zanguni... Nina rafiki yangu kamaliza masters ya sheria (LLM) na kaisha pita law school in short ni advocate kwa sasa ana miaka 29 Anahitaji kujiunga na jeshi la polisi either magereza,ffu,Traffic,Police etc
Anahitaji kujua kua akifanikiwa kupita mafunzo na kila kitu na akapangiwa atakua either Police,Traffic, Askar magereza etc Swala la kupanda vyeo lipoje au ataanza na cheo gani
Maana kama nae ata kua anaenda lindo or ataanza na kitengo hvyo yani
Kiufupi anataka ajue atapata benefit gan kama akifanikiwa kwa sasa ni Advocate na ana masters ya sheria. Natanguliza shukran?
huyo atakua na nyota ya ulinzi😂😂
Yaan mtu ni Practising Advocate alafu anataka kushikashika bunduki what for?? au hajui kupractice au ndo walioenda Law School wakapita kwa maelekezo??
Then hiyo Masters kasoma ya nini kama hawez kua Assistant Lecturer maana vyuo vingi sana vinataka LLM holders both Public na Private au alipata ufaulu mdogo(below 3.5 undergraduate level) au napo alipita kwa Maelekezo 😂 au Masters yuko below 4.0GPA kama ni hvyo atakua kapoteza Ada tu ya masters angelimia nyanya.
Anyway huyu jamaa angepractise law tu aachane na taasisi za ulinzi hzo kwa ma form 2 huko .......AU ANAOGOPA KUPRACTICE😂😂
 
Ndugu ushaona lecturer mwenye pesa....Ukiwa katika Majeshi ya ulinzi unawez endesha Vitu vyako smooth na kuheshimika huliko ata huyo Lecturer...Unakua na access ya vitu vingi
 
Ushaona lecturer na police yupi anaheshimika .....Police anawez kua anajipatia pesa daily lakin sio lecturer We are after money na sio Fame au watu wakuone nani?
 
Back
Top Bottom