Huyo atakuwa Askari mtumishi.

Hatopitia kila kitu kama Askari kamili.
 
Hiyo ni instant tu anavyokula ajila..mtu mweny hizo V 3 ana privilege gan?
Inategemea kama ni jeshin au polisi, but kuna kada ukiwa na degree kule direct unakula nyota baada ya msoto kidgo, afya, tech,na kozi fulani nimeisahau anasoma dogo langu la kike alitoka kwa mujibu akashauriwa kusoma iyo dogo yupo vizuri sana now mwaka wa pili
 
Rafiki yako ameanza kuandaa Nepi na Pampas wakati hata mtoto hajazaliwa 🙌

Anyways,

Masters Kazini itamsaidia kupanda vyeo hapo baadaye.

Ila kwasasa ataanza na nyota 1 akifanikiwa kuajiriwa huko


Wishing him all the best
 
Ndugu ningeshukuru kama ungeuliza kusudi niwes kujua ni Ipi
 
Anaulizia cheo akiwa bado hajapata? Mwambie a slow down. Anapoingia jeshini akubali kuanza chini, aisanze kuzionyesha hizo masters, akisha pata permnent ajira ndio anaweza zitoa, kwa sasa ni mapema mno
 
Lindo muhimu, Kuna dogo ni MD anakula lindo kama kawaida, ila matumaini ya kupanda vyeo chap ni makubwa na mapema tu ataondokana na doria zisizo na mantik.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…