Kuna vitu wengi wanachanganya hizo FFU, TRAFFIC, RELI, MIFUGO, UPELELEZI n.k ni vitengo tu ndani ya TPF.

Kama yupo tayari kujiunga na majeshi asifikirie sana kuanza na uafisa yeye akomae kuingia ndani ya chombo namba ikipatikana bega litajaa tu inshallah.
 
Na anauliza sababu cha kwanza anaangalia Maslah swala la uzalendo litakuja automatic..
Ndiomaana anataka kujua kwanza kuliko kuchukua maamuzi halafu yakawa sawa na yahuku mtaani...kama mjuavyo masha yanahitaji pesa sasa swala la uzalendo halafu pesa haipo sio swala na watu wamepambana kulipa ada kwa hali na mali..Kama mjuavyo hakuna tuzo ya kuteseka
 
Kama anaipenda hiyo kazi ajiunge kwa Moyo mmoja bila kujali atapangiwa kitengo gani, kituo gani ama Mkoa gani.
Pia asiwe na matarajio makubwa sana kichwani maana wasomi wa taaluma hiyo wapo wengi na asije akadhani atakuwa wa pekee kwenye Jeshi.
Kuhusu utakapofanyia kazi iwe kitengo, kituo au Mkoa wa kufanyia kazi atapangiwa kadri itakavyoonekana inafaa na Makao Makuu au Kamanda wa Mkoa husika.
NB:
Aweke matarajio ya kawaida ili akipata makubwa iwe bonus, kuliko kuingia na expectations kubwa halafu akakuta hali ni tofauti na alivyotarajia akavunjika Moyo na kuichukia kazi
 
Sawa ndugu umeeleweka....Maana sasa kwa watoto wa maskin tena Inabidi upambane mwenyewe unawez tengenez njia kwa kizazi chako
 
Mnanitisha sasa😃yan LLM na PGDL na mtu unataka kujiunga na JKT tena🙌🙌🙌🙌
 
Ndugu mm siwez kuingia pia nashundwa yan..kama unawezekana naomba tuongee PM unipe muongozo kidogo
Si unajua maslah muhimu unawez ukatumbukia halafu unasota tena for 4 years
Unasota vipi ukimaliza kozi CCP tayari ndo ajira, lakini usidanganywe eti ukimaliza tu utavaa nyota, japo mshahara utakaoanza nao(degree holder) almost ni sawa na mwenye nyota.
 
Ni huyu huyu mleta uzi usidhani kuwa kuna mwingine.
Mpigishe jaramba mapema maana anavyoonekana akishakaa ofisini atawaendesha vilivyo. Kiufupi hataki kukaa lindo anataka akivishwa gwanda tu apigiwe saluti.
Hahaa ndugu yangu huyo sio mm
 
Unasota vipi ukimaliza kozi CCP tayari ndo ajira, lakini usidanganywe eti ukimaliza tu utavaa nyota, japo mshahara utakaoanza nao(degree holder) almost ni sawa na mwenye nyota.
Oooh hiyo sawa but kama kuanzia 1.5m sio mbaya au ni less
 
Sawa ndugu..ila wabongo ku share info ni wagumu sana ndiomaana kuuliza kwa watu wengi ni vyema
 
Hata kama angekua na PhD utumishi wa umma unaenda kwa ngazi ataanza chini kabisa na atapanda kwa kadiri anavofanya kazi kwa weledi juhudi na maarifa. Hivyo vyeti vitamsaidia mbele ya safari huko.
 
Sawa ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…